China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,310
Reaction score
40,588
China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US.

The trade war:
China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing U.S.-made aircraft parts and equipment, a move reported on April 15, 2025, in response to the U.S. imposing 145% tariffs on Chinese goods. This escalation in the U.S.-China trade war, driven by President Donald Trump’s policies, follows China’s retaliatory 125% tariffs on U.S. imports, which nearly double the cost of Boeing jets. The halt affects major Chinese carriers like Air China, China Eastern, and China Southern, which had planned to receive 179 Boeing planes from 2025–2027. Beijing is also exploring support for airlines leasing Boeing jets to offset increased costs. The freeze, which may allow some deliveries with completed paperwork on a case-by-case basis, poses a significant challenge for Boeing, as China is projected to account for 20% of global aircraft demand over the next two decades. Boeing shares dropped 2.5–3% in premarket trading following the news. No official comments have been issued by Chinese aviation authorities or Boeing.
 
Attachments

  • IMG_20250415_163023.jpg
    IMG_20250415_163023.jpg
    213 KB · Views: 25
Hahahah umeua mchina hataki mchezo
Marekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.

Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima 😁😁
 
MAGA-make america great again.Is an approach taken by Trump useful today?Let us wait and see.
 
Na zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.

Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
 
Playstore ni upuuzi ambao wengi wenu mnautumia
 
Sio jambo la kushangilia....

Hizo vita za wakubwa waathirika wakubwa ni mataifa ya dunia ya tatu huku kwa sababu hata soko la Dunia mnategemea kauli zao ndo mpate pesa....

So far wakianza kukomoana kuna mmoja atatema ndoano...

Ni wakati wa China kuwa na tech yake kwa sababu asilimia kubwa anatumia tech ya USA...

So far hao kwa sasa wanavimbiana ili wakae mezani kuelewana na sio mmoja kumpangia mwenzake cha kufanya...
 
Marekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.

Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima 😁😁
 
Sio jambo la kushangilia....

Hizo vita za wakubwa waathirika wakubwa ni mataifa ya dunia ya tatu huku kwa sababu hata soko la Dunia mnategemea kauli zao ndo mpate pesa....

So far wakianza kukomoana kuna mmoja atatema ndoano...

Ni wakati wa China kuwa na tech yake kwa sababu asilimia kubwa anatumia tech ya USA...

So far hao kwa sasa wanavimbiana ili wakae mezani kuelewana na sio mmoja kumpangia mwenzake cha kufanya...
Trump mda si mrefu atatema bungo
 
Na zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.

Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
China tayari ameshaipa Dili Airbus la ndege 160.😂 Mchina hacheki na kima

"The expansion project is planned to enter into service at the end of 2025, Airbus said in a statement. It will be able to manufacture both A320 and A321neo aircraft, the newest single-aisle aircraft of Airbus, to meet surging demand."
WE HAVE A PLAN B.😎
🇨🇳🤝🇪🇺
 
Attachments

  • IMG_20250415_192752.jpg
    IMG_20250415_192752.jpg
    82.4 KB · Views: 25
  • IMG_20250415_163033.png
    IMG_20250415_163033.png
    401.8 KB · Views: 31
Marekani aliwalea sana miaka yote.. kaamua kila mtu ajisimamie mwenyewe mmachukia.. mbwai mbwai tu
 
Marekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.

Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima 😁😁

Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!
 
Na zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.

Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom