Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,418
- 28,180
Bidhaa gani za China zimekutia hasara?Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Na cc tuwe na ligi yetu ndan ya East Africa then SADC then AFWakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)
Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi kwenye technology breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes) umezidiwa na China
China inaongoza katika critical technology (technology useful in many applications) 37 kati ya 44 zilizoangaziwa. Na hizi teknolojia 44 zimegawanywa kwenye makundi 7:
1. Advanced materials and manufacuring
View attachment 2988772
View attachment 2988773
2. Artificial intelligence and communications
View attachment 2988774
View attachment 2988775
3. Energy and environment
View attachment 2988776
4. Quantum
View attachment 2988777
5. Biotechnology, gene technology and vaccines
View attachment 2988778
6. Sensing, timing and navigation
View attachment 2988779
7. Defence, space, robotics and transportation;
View attachment 2988780
Wazo zuri ila tuache siasa kwenye mambo muhimuNa cc tuwe na ligi yetu ndan ya East
Na cc tuwe na ligi yetu ndan ya East Africa then SADC then AF
Sasa hivi Marekani kabaki na silaha mbili tu kwa China kupiga ban na import tariffsHapo namba 4 Quantum kipengele cha Quantum computing baada ya Marekani kuona watazidiwa wameshaanza figisu
View attachment 2988799
Kivipi?Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Bidhaa za bei kubwa hata huwa unazigusa ?Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Kbs kkWazo zuri ila tuache siasa kwenye mambo muhimu
China inapaswa kuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengi ambayo bado yanajitafuta kama ya Afrika
Hapo anacomment na simu iliyotengenezwa China. Kupitia hiyo simu anapata deals za pesa. Huku anakuja kuandika Mchina anamtia hasaraBidhaa za bei kubwa hata huwa unazigusa ?
Sisi tumewekeza sana kwenye siasaKbs kk
iLa sio kwa ruling systems zetu
Masikini utawajua tu! Wewe kwanini ukimbilie bidhaa za hali ya chini wakati mchina huyohuyo anatengeneza bidhaa kuliangalia na hali yako?Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Mchina anatengeneza bidhaa kulingana na pesa yako.Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Akisafiri anatumia magari/mabasi ya Mchina,madaraja anayovuka mostly yamejengwa na Mchina.Hapo anacomment na simu iliyotengenezwa China. Kupitia hiyo simu anapata deals za pesa. Huku anakuja kuandika Mchina anamtia hasara
Italeta chachu, ila mitano Hadi miaka ya mwanzo naona EA tutakuwa tukikamata mkiaNa cc tuwe na ligi yetu ndan ya East
Na cc tuwe na ligi yetu ndan ya East Africa then SADC then AF
Tengeneza original mkuuMimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Wakali waWakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)
Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes)
China inaongoza katika critical technology (technology useful in many applications) 37 kati ya 44 zilizoangaziwa. Na hizi teknolojia 44 zimegawanywa kwenye makundi 7:
1. Advanced materials and manufacuring
View attachment 2988772
View attachment 2988773
2. Artificial intelligence and communications
View attachment 2988774
View attachment 2988775
3. Energy and environment
View attachment 2988776
4. Quantum
View attachment 2988777
5. Biotechnology, gene technology and vaccines
View attachment 2988778
6. Sensing, timing and navigation
View attachment 2988779
7. Defence, space, robotics and transportation;
View attachment 2988780