chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
- Thread starter
- #21
Hhahaaaa haya banaJuzi kati nasi tulizindua la kwetu
Hhahaaaa haya banaJuzi kati nasi tulizindua la kwetu
Wa
Wanazalisha nini hao Cdm? CCM imejenga kwa nguvu za wana nchi wote tangu enzi za chama tawala. Majengo, viwanja vya michezo, hqs wote tulichangia.
View attachment 384930 Tanzania bado tuko kwenye viwanda.
Hili la kwetu ni la wayaJuzi kati nasi tulizindua la kwetu
Ni waya za stainless, hizo ni balaa ni zaidi ya kioo.Hili la kwetu ni la waya
kwa nini mkuu? kitu kishatestiwa kipo swafiHapo hata kwa bakora, hunipitishi hapo
kwa nini mkuu? kitu kishatestiwa kipo swafi
Mkuu kama kidogo ulienda shule kufuta ujinga....uwa kuna kitu kinaitwa Cost sharing kwenye General study....wanatumia kodi ccm kulijenga taifa....na kodi ni shria na taratibu.
Baada ya multiparty system kuanza Tz Mali zote za chama tawala zilirudi CCM. Walioanzisha vyama wakawa Na wana chama tu Mali hawa kuwa nazoMkuu kama kidogo ulienda shule kufuta ujinga....uwa kuna kitu kinaitwa Cost sharing kwenye General study....wanatumia kodi ccm kulijenga taifa....na kodi ni shria na taratibu.
Wao wanaoa tu!.....lolKuna jamaa zetu wanaitwa cdm, kwa miaka 24 tangu waanze hawajawahi kuwa hata na jengo moja la ofisi.
Nadhan wakichukua nchi watakodi majengo yawe ikulu.
Daaah hawa watu wanafanya uzalishaji wa nnView attachment 384930 Tanzania bado tuko kwenye viwanda.