Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Ni kwamba watanzania hutumia muda mwingi kulalamika udikteta kuliko masuala ya kimaendeleo na wakati hata china udikteta upo na mambo yanaendelea.hoja yako ni nini mkuu?
Ni kwamba watanzania hutumia muda mwingi kulalamika udikteta kuliko masuala ya kimaendeleo na wakati hata china udikteta upo na mambo yanaendelea.hoja yako ni nini mkuu?
Watu wapate muda wa kufanya kazi tusasa itasaidia nini wakiifungia
anhaaWatu wapate muda wa kufanya kazi tu
Hahahahaanhaa
Oya masta naona unavuka mipaka[emoji1][emoji1][emoji1]Hivi hapa kwetu TANZANIA hakuna uwezekano wa kufunga website zote za porn ....wawaokoe vijana na nguvu za kiume
unataka kusema biashara za madada zipo humu sanaTz ikifanyw ivo nakwambia wadada karibu wote watakufa njaaa
kwani kuna ulazima kuendeshwa udikteta ili maendeleo yafike?!Ni kwamba watanzania hutumia muda mwingi kulalamika udikteta kuliko masuala ya kimaendeleo na wakati hata china udikteta upo na mambo yanaendelea.
Hakuna ulazima,lakini pia hakuna ulazima kuwepo demokrasia ili kuleta maendeleo.kwani kuna ulazima kuendeshwa udikteta ili maendeleo yafike?!