Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,902
Construction na architecture ni vitu viwili tofauti.
Anayefanya construction ya majengo ya kisasa anatumia nyenzo (tools/equipments) zilizopo tayari pamoja na design/blueprint kutoka kwa aliyefanya architecture.
Anayefanya architecture anatumia ubunifu na ujuzi wa kiufundi (creative and technical skills) ili kuunda majengo (design/blueprint) kabla hata ya mchakato wa construction kuanza.
Kazi ya architecture katika karne hii inahitaji qualifications na ujuzi zaidi kuliko construction.
Mfano: Kwa nchi kama Marekani, wala hauhitaji university degree ili kuwa licensed contractor wa majengo, wakati ili uwe licensed architect ni lazima uwe na kisomo cha juu zaidi kuanzia degree. Nafikiri hata kwa Tanzania ni vivyo hivyo.
Soma zaidi tofauti zao hapo chini (zingatia sana hizo sehemu nilizopigia mstari mwekundu):
View attachment 2770281
Links:
Construction vs Architecture: Which One Is The Correct One?
When it comes to building design and construction, the terms "construction" and "architecture" are often used interchangeably. However, they are not the samethecontentauthority.com The Difference Between a General Contractor and an Architect
The difference between an architect and a contractor is that architects produce designs for larger-scale projects while the contractors keep and implement them.www.accessdoorsandpanels.com
Leta facts kuhusu kuwa design wa majengo yote ya China ni USA. Mbona unajiondoa ufahamu mdogo wangu? Si ndio wewe umesema majengo yote ya China designer wao ni USA. Mbona hakuna proof yoyote?Construction na architecture ni vitu viwili tofauti.
Anayefanya construction ya majengo ya kisasa anatumia nyenzo (tools/equipments) zilizopo tayari pamoja na design/blueprint kutoka kwa aliyefanya architecture.
Anayefanya architecture anatumia ubunifu na ujuzi wa kiufundi (creative and technical skills) ili kuunda majengo (design/blueprint) kabla hata ya mchakato wa construction kuanza.
Kazi ya architecture katika karne hii inahitaji qualifications na ujuzi zaidi kuliko construction.
Mfano: Kwa nchi kama Marekani, wala hauhitaji university degree ili kuwa licensed contractor wa majengo, wakati ili uwe licensed architect ni lazima uwe na kisomo cha juu zaidi kuanzia degree. Nafikiri hata kwa Tanzania ni vivyo hivyo.
Soma zaidi tofauti zao hapo chini (zingatia sana hizo sehemu nilizopigia mstari mwekundu):
View attachment 2770281
Links:
Construction vs Architecture: Which One Is The Correct One?
When it comes to building design and construction, the terms "construction" and "architecture" are often used interchangeably. However, they are not the samethecontentauthority.com The Difference Between a General Contractor and an Architect
The difference between an architect and a contractor is that architects produce designs for larger-scale projects while the contractors keep and implement them.www.accessdoorsandpanels.com
Kama majengo umeshindwa kutuonesha. Tuoneshe basi japo High Speed Railway kutoka USAGreat Wall of China uliochukua miaka zaidi ya 2000 kuujenga ukakamilika has nothing to do with 21st century architectural needs and technology!
Kama tunazungumzia nyanja ambazo zinagusa wananchi wa pande zote moja kwa moja (kwa mujibu wa maneno yako mwenyewe), tunapaswa kuzingatia wakati uliopo sasa na mahitaji ya sasa ya watu wa hizo nchi mbili.
Great Wall of China imebaki kama sehemu ya utalii tu. Dhumuni la ujenzi wa huo ukuta lililokuwepo miaka hiyo halipo tena hivi sasa, ndio maana nimesema it has nothing to do with 21st century architectural needs and technology.
Again, unatumia mzani usio sahihi kulinganisha hizo nchi mbili. Kwamba USA nayo ilipaswa kuwa na Great Wall of USA miaka 2000 iliyopita ili kuonesha uwezo wake wa kimiundombinu wa sasa hivi? Wrong!
Uwezo wa USA katika miundombinu za kisasa unajionesha katika baadhi ya miradi mikubwa iliyopo China na duniani kote hivi sasa. Nimesema na nimeleta facts hapa za kutosha.
Katika majengo 10 marefu zaidi duniani, Marekani imehusika kwenye usanifu wa majengo takribani 6. Majengo yote ya China yaliyopo kwenye hiyo list yanaihusisha Marekani katika architectural design.
List hii hapa; architects wa hayo majengo wametajwa humo:
Top 10 tallest skyscrapers around the world - PA
Buildings designed in the present day are; Taller, smarter, and sustainable. Here are the top 10 tallest skyscrapers in the world.parametric-architecture.com
Huyo anashindwa kuelewa kuwa China iko katika boom ya ujenzi wa majengo marefu mengi.Leta facts kuhusu kuwa design wa majengo yote ya China ni USA. Mbona unajiondoa ufahamu mdogo wangu? Si ndio wewe umesema majengo yote ya China designer wao ni USA. Mbona hakuna proof yoyote?
Anataka watu waje waseme maendeleo ya marekani na Europe ni jasho la blacks wa miaka hiyo na mpaka Sasa hivi Bado Kuna unyonyaji. Ref:Niger vs France plppppKwani kinacho zungumziwa hapa ni yupi mbunifu wa majengo kati ya hizo nchi mbili au ipi nchi imemzidi mwenzie kwenye miundombinu ?
Kufanya nini mzee. Kama wewe unapenda madawa ya kulevya unaenda USA but if you are business person unaenda ChinaSwali moja tu kwako Venus Star kati ya China na makao makuu ya dunia, USA, unaenda wapi?
Hapo kwenye high speed railway China hana mpinzani dunia nzima. Yaani hata mataifa yote duniani yaungane hawafikii Km za high speed railway ya ChinaKama majengo umeshindwa kutuonesha. Tuoneshe basi japo High Speed Railway kutoka USA
Hizi hapa data za 2020
View attachment 2770359
NAKAZIAif you are business person unaenda China
Kufanya nini mzee. Kama wewe unapenda madawa ya kulevya unaenda USA but if you are business person unaenda China
Tatizo watu wanaichukulia china kama Burundi vile. Wanawaona wachina kana kwamba kichwani hazimo.Katika list ya kampuni 100 kubwa za architecture duniani mwaka 2023
●USA 16
●China 13
Usiichukulie poa China wanaweza construction na architecture as well
Link hiyo hapo
> Largest architecture firms in the World [2023 update] | ARCHIVIBE
What are the largest architecture firms in the World in 2023? Discover the top architecture firms in terms of fee income and employees.www.archivibe.com
Hueleweki ulichoandika. Je, kiswahili unakijua vizuri? Umewahi kwenda China mji gani mzeeKiwanja kuna China towns kibao ila hamna US town China, unadhani kwanini wachina wanajaza kiwanja?
HUAWEI Mate 60 imewachanganya sana nchi za Magharibi hasa Marekani aliyejifanya kumbania chipTatizo watu wanaichukulia china kama Burundi vile. Wanawaona wachina kana kwamba kichwani hazimo.
Europe na marekani wameungana kupigana na china. ASML ya Uholonzi wameungana na USA kuwabania machine za kutengeneza semiconductors.
ASML | The world's supplier to the semiconductor industry
ASML is the leading supplier to the semiconductor industry, driving lithography system innovation to make chips smaller, faster and greener.www.asml.com
Kilicho washangaza SMIC wamekuja na 7nm chip. Na Hawei kawapiga bao la uso sasa hivi wanahaa
Hueleweki ulichoandika. Je, kiswahili unakijua vizuri? Umewahi kwenda China mji gani mzee
Duuh! Mwafrika mwenzangu mbona unachekesha jukwaawakati hamna mtu toka US anaenda kuishi China?
Mzee wewe bado mgeni sana kwenye Internet.Usijifanye huelewi, kwanini wachina wanajazana US hadi kuwa na vimiji vyao ndani ya US, Chinatowns, wakati hamna mtu toka US anaenda kuishi China? Kwanini wachina wenyewe wanakimbilia makao makuu ya dunia, USA?
Hivi unaelewa hata concept ya China Town ? Unafikiri China town ipo US pekee ?Usijifanye huelewi, kwanini wachina wanajazana US hadi kuwa na vimiji vyao ndani ya US, Chinatowns, wakati hamna mtu toka US anaenda kuishi China? Kwanini wachina wenyewe wanakimbilia makao makuu ya dunia, USA?
Mzee wewe bado mgeni sana kwenye Internet.
Kwanza Wikipedia siyo reliable source maana kila mtu anaweza kuandika apendacho.
Pili China wapo duniani kote hata hapa Tanzania kuna China Plaza hapo Kariakoo. Kuna Restaurant kibao za wachina. Huenda mwenzangu huja tembea. Yaani watu kuweza kuwa na Miji yao kwenye nchi zenu maana yake wamewatawala.
Hapa Bongo majina mengi ni ya wazungu. Mfano Ziwa Victoria nk.
Hiyo point yako haina mashiko
Duuh! Mwafrika mwenzangu mbona unachekesha jukwaa
Americans in China (Chinese: 在華美國人; Pinyin: zài huá měiguó rén) are expatriates and immigrants from the United States as well as their locally born descendants. Estimates range from 72,000 (excluding Hong Kong and Macau) to 110,000.