Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,096
Demographics kati ya hizo nchi mbili ni tofauti sana hivyo kipimo cha idadi ya miundombinu hakiko sahihi. Kila nchi hapo inajenga miundombinu kwa kuzingatia masuala mbalimbali ikiwemo idadi ya watu.
Hoja zangu zimejikita katika suala la usanifu (architecture). Architecture ndiyo msingi wa miundombinu zilizopo.
Hizo habari za kusema majengo fulani na fulani ya China yamebuniwa na raia wa US ameleta nani hapa kama sio wewe na zina uhusiano gani na nchi gani imemzidi mwenzie kimiundombinu ?Demographics kati ya hizo nchi mbili ni tofauti sana hivyo kipimo cha idadi ya miundombinu hakiko sahihi. Kila nchi hapo inajenga miundombinu kwa kuzingatia masuala mbalimbali ikiwemo idadi ya watu.
Hoja zangu zimejikita katika suala la usanifu (architecture). Architecture ndiyo msingi wa miundombinu zilizopo.
Nani aliyesema Great Wall of China imejengwa na USA?Also mchina amejenga Great Wall zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Leo uje useme USA.
Soma geopolitics na Historia ya dunia mzee.
Nisome tena unielewe, mdau!Hizo habari za kusema majengo fulani na fulani ya China yamebuniwa na raia wa US ameleta nani hapa kama sio wewe na zina uhusiano gani na nchi gani imemzidi mwenzie kimiundombinu ?
May you please come with supportive evidence mkuu,Mnaijuwa Panama canal na maajabu yake ya kiuhandishi (iliyojengwa na wamarekani zaidi ya miaka 100 iliyopita) na impact yake kiuchumi? Pound locks zinazotumika kwenye Panama canal ili kuipitisha meli usawa wa juu au chini, in invention ya wachina, zaidi ya miaka 1000 iliyopita lakini hata huwezi sikia ikitajwa.
I'm not pro anything but this notion of burying contibutions of other civilizations makes me sick. You guys mentioned about the Golden gate bridge but forgetting (not knowing) that the chinese were the first to come up the the idea of suspension bridge, during the Han Dynasty.
Marekani imejengwa kwa steel industry (reli, madaraja na skyscraper structures), hawa wakina Andrew Carnegie walitajirika sana na biashara hiyo. Msichokijuwa ni kwamba uwezo wa kutengeneza steel kwa wingi ulitokana na teknolojia ya blast furnace ambayo kwa mara ya kwanza ilitumika China.
Ukiangalia juu juu unaweza kuona wachina wanakopi kila kitu ila kiundani utaona wao ndiyo waliokuwa wa kwanza kugundua mambo mengi kama karatasi, uchapishaji wa vitabu, navigation, baruti, utengenezaji wa nguo, na hata mbinu za kivita n.k. Huwezi kuwa na population kubwa vile kwa bahati mbaya, hapo inaonesha kulikuwa na mifumo mzuri wa chakula, madawa, afya na ulinzi.
May you please come with supportive evidence mkuu,
Kuhusu panama canal, steel industry, na suspension bridge technology.
Mzee acha hizo. Hebu leta hizo facts hapa na references zake.Nani ameichukulia China kama Malawi? Hoja zako ziko kishabiki zaidi kuliko kisomi!
Wewe unazungumzia construction wakati mimi nazungumzia architecture. Hapo ndipo tatizo lilipo. Hakuna construction bila architecture.
Mzee umesema USA ipo na architects bora eti ndio wanao design majengo ya china!!!! Hahahaha!!! Nimekuuliza sasa hiyo Great Wall iliyojengwa 2000 years ago nani ali design?Nani aliyesema Great Wall of China imejengwa na USA?
Twiga anakula majani kutokana na urefu wa shingo, ndio sisi tunakula kutokana na urefu wa kamba..na raia namba moja kalibariki hili.Nembo Zina signify uthabiti wa Taifa, Eagle vs Dragon. Sijui kwanini sisi tulichagua Twiga
Hata ukienda Marekani kuna majengo mengi tu yamesanifiwa na makampuni ya nje ya MarekaniNisome tena unielewe, mdau!
Nimekataa hicho kipimo cha idadi ya miundombinu. Kipimo hicho hakizingatii utofauti uliopo kati ya hizo nchi mbili. Isitoshe, ulinganisho unakosa nguvu kwa sababu mmoja wapo hapo (USA) ni mhusika katika usanifu wa miundombinu kadhaa mashuhuri za pande zote mbili.
Construction na architecture ni vitu viwili tofauti.Mzee acha hizo. Hebu leta hizo facts hapa na references zake.
Kwa hiyo unamaanisha nini mkuu?Construction na architecture ni vitu viwili tofauti.
Anayefanya construction ya majengo ya kisasa anatumia nyenzo (tools/equipments) zilizopo tayari pamoja na design/blueprint kutoka kwa aliyefanya architecture.
Anayefanya architecture anatumia ubunifu na ujuzi wa kiufundi (creative and technical skills) ili kuunda majengo (design/blueprint) kabla hata ya mchakato wa construction kuanza.
Kazi ya architecture katika karne hii inahitaji qualifications na ujuzi zaidi kuliko construction.
Mfano: Kwa nchi kama Marekani, wala hauhitaji university degree ili kuwa licensed contractor wa majengo, wakati ili uwe licensed architect ni lazima uwe na kisomo cha juu zaidi kuanzia degree. Nafikiri hata kwa Tanzania ni vivyo hivyo.
Soma zaidi tofauti zao hapo chini (zingatia sana hizo sehemu nilizopigia mstari mwekundu):
View attachment 2770281
Links:
Construction vs Architecture: Which One Is The Correct One?
When it comes to building design and construction, the terms "construction" and "architecture" are often used interchangeably. However, they are not the samethecontentauthority.com The Difference Between a General Contractor and an Architect
The difference between an architect and a contractor is that architects produce designs for larger-scale projects while the contractors keep and implement them.www.accessdoorsandpanels.com
Great Wall of China uliochukua miaka zaidi ya 2000 kuujenga ukakamilika has nothing to do with 21st century architectural needs and technology!Mzee umesema USA ipo na architects bora eti ndio wanao design majengo ya china!!!! Hahahaha!!! Nimekuuliza sasa hiyo Great Wall iliyojengwa 2000 years ago nani ali design?
Mjadala ni kati ya Marekani na China. Marekani imehusika zaidi kwenye uundwaji wa miundombinu za kisasa za China kuliko ambavyo China imehusika kwenye miundombinu za Marekani.Hata ukienda Marekani kuna majengo mengi tu yamesanifiwa na makampuni ya nje ya Marekani
Miundombinu kama ipi mkuu?Mjadala ni kati ya Marekani na China. Marekani imehusika zaidi kwenye uundwaji wa miundombinu za kisasa za China kuliko ambavyo China imehusika kwenye miundombinu za Marekani.
Namaanisha kuwa construction na architecture ni vitu viwili tofauti.Kwa hiyo unamaanisha nini mkuu?
Mipango miji.Miundombinu kama ipi mkuu?
Dah! Kumbe ndo hivyo mkuuNembo Zina signify uthabiti wa Taifa, Eagle vs Dragon. Sijui kwanini sisi tulichagua Twiga
Hiyo kampuni inadeal na architecture wala sio mipango miji.Mipango miji.
Pitia hii website ya kampuni niliyoitaja awali (Kohn Pedersen Fox). Wameorodhesha projects zote walizohusika nchini China: