china to buy facebook

china to buy facebook

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
This is very scary to me,
The Chinese should never get any percentage of FB. I don't know how they do, but I have been told, the Chinese do not socialize like the Way we do. It will just become a medium for political broadcasts.
 
kweli mbabe wa dunia kafulia hadi fb inauzwa thanks to chinese..
 
I was told that in china the facebook does not open, so when she buys it..............., who will benefit.
 
I was told that in china the facebook does not open, so when she buys it..............., who will benefit.

to show the world they are finally "here". China has been oppressed by the world for couple hundreds of years now. They are finally advanced enough that they can stand on their own feet without being pushed around by the "superpowers".
 
Tusubiri tuone, then atanunua hiki na kile mwisho atanunua dunia!
 
Tusubiri tuone, then atanunua hiki na kile mwisho atanunua dunia!

Averos mimi binafsi naamini kuna kitu kinaendelea ambocho sisi huku hatukijui,maybe 3rd world war inaandaliwa,kupunguza idadi ya watu duniani kwa wanavyojua wao,china na marekani wanajua ndio maana marekani wanalalamika china kuja africa,kwa ujumla sisi hatujui chochote
 
Hapo wanamalizia tu, mbona walishanunua kila kitu cha maana... sasa wananunua hata madeni ya wengine (US, Eurozone etc etc..)
 
sasa ikipita miaka kama elfu mbili hivi na vizazi vyetu vijavyo wakiwa wanachimba makazi ya zamani zakale yaani ya kizazi chetu wataweza sema kipindi hiki walikuwa wanaishi wachina tuu manake kila kitu kimeandikwa made in China…….
 
hivi kuna wakati unawaza wachina wana nia mbaya na sisi?saa nyingine nafikiria eti wanatamani tufe wote waje waishi africa,mawazo mengine ni utata mtupu
 
wee acha hawa jamaa wanaenda speed si mchezo....ukienda east bay maeneo ya san jose, san francisco wachina sasa ndo wanatesa soko...sishangai ukiniambia waweza nunua face book.
 
Mbio tumeanza wote (angalau si mbali)! China 1959-Tanganyika1961 Wametuacha hapa na watatukuta hapa taaban wao wakirudi na mavuno yao. Na huko waliko ni muhali kuwafikia abadan. Ujamaa umewatoa sisi tumebaki kuwayawaya na akili za Mbayuwayu. Ujamaa tumeutupa ilhali ubepari umetukwama kooni. Tunalo na bado...!
 
Back
Top Bottom