NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Mbio tumeanza wote (angalau si mbali)! China 1959-Tanganyika1961 Wametuacha hapa na watatukuta hapa taaban wao wakirudi na mavuno yao. Na huko waliko ni muhali kuwafikia abadan. Ujamaa umewatoa sisi tumebaki kuwayawaya na akili za Mbayuwayu. Ujamaa tumeutupa ilhali ubepari umetukwama kooni. Tunalo na bado...!
huwezi kufananisha tanzania na china hata kidogo, hapo 1959 kwenyewe utafananisha na tanzania mwaka 2030