China tayari imezindua 10G

China tayari imezindua 10G

Tumezindua gurudumu la mama kule Idodomya
hahaaaa naambiwa pia bar zote zimefungwa barmids wote wamepewa jezi na hela wakapige vigelegele kule mkutanoni, yaani nguvu inayotumika kuangamiza upinzani na kuihalalisha siisiiemu ingetumika kwenye mambo ya msingi Dubai ingetusubiri kwa maendeleo.
 
Tunashuku sana Kwa ufafanuzi huo Mkuu.
Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.

China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.

Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.

yaani hata kama ingrkua inatumia reli kusafirisha data. Point ni kwamba wenzake bado wapo 5G katika aina hyo ya usafirishaji data. Hyo inatosha kumpa china maua yake.
Utakuwa umechanganya kidogo, jua mtu anaye miliki fiber ni USA pekee wengine wote tunanunuua kutoka kwake ikiwemo na China. Ndio maana kukitokea tatizo lolote kwenye bahari la fibercut hata mchina atakosa internet. Hapo wachina wanazungumzia kuwa wana switch zenye uweze wa kutoa internet yenye uwezo wa 10gbps. Ila fiber cable inaweza kupitisha internet yenye uwezo wa 500Gbps ndio maana tumeachana na copper wire
 
sawa boss. ni kampuni gani ya marekani inayomiliki hyo fiber? na naomba uniambie fiber ni nini? kama hujui sema hujui. usitumie hisia
 
Back
Top Bottom