wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,420
- 2,494
wenzenu wanafanikiwa maana wanataka kufika haraka(sasa). unakaa na mawazo ya kimasikini kudai jambo la muda... Ndo maana mpaka waafrika hatufanikiwi, maana tumezoea kula makombo. tunajua wenzetu wakichoka watatuletea. so tunasubiri tu. Inauma sana hii.Kama tumefika tulipo, huko nako tutafika, ni wakati tu