China, Tanzania carrying out month long joint naval drills

China, Tanzania carrying out month long joint naval drills

Hahahaha!!! wahurumie hawa jamaa wa potentials na sleeping giant.

Mkasingizia mlikubali kugaragazwa na Uganda na kuachia Mingigo kisa trade partner sasa TZ mnaanzaje kutia mguu mana ndio major trade partner wenu... hapa hamkujibu mkachikichia... endeleeni kuchikichia
 
Very little is known two more deliveries this year wapi ukaona TZ wana mbwembwe kwenye sites mzee ila kazi inafanyika na wanajulikana kwa kazi sasa KDF mnatuonyesha mapicha alaf nchi nzima mnazidiwa magaidi wanne kuna maana..??
Kulikua na haja ya kuwa na Navy Drill kama TZ hawana War Ship mzee dont think low basi...

Haya basi kwa vile imebainika hamna meli za kivita maana hakuna picha hata ya boat, basi wacha niwape ngoma ya Kikenya.


KENYA+NAVY+SOMALIA.jpg


dnsomali1711rg.jpg



KNS_Shujaa-KNS_Nyayo.jpg


kns_nayyo.jpg



three_cheers.jpg


images




fg110108027.jpg
 
Haya basi kwa vile imebainika hamna meli za kivita maana hakuna picha hata ya boat, basi wacha niwape ngoma ya Kikenya.


KENYA+NAVY+SOMALIA.jpg


dnsomali1711rg.jpg



KNS_Shujaa-KNS_Nyayo.jpg


kns_nayyo.jpg



three_cheers.jpg


images




fg110108027.jpg

Hahaha unanifurahisha mzee wa mapichaaaa... nyie jeshi lenu ni mapichaa tu kazi sifuri..🙂 sasa twende kwenye vita bas mana kazi ya jeshi si Mapichaaa mzee kazi ya jeshi ni Ulinzi, vita tena kushinda sio tu kupambana na kutrain haya Baba twende kazi.... Wazee wa Kenya Drinking Force ama aka KDF
 
Mbona watanzania wanakwepa swali la wapi warship yenyu, hii maneno ya ku discuss kdf ni side show, mnayo ama hamna?

Hayoo maneno ya Navy Ship tushamaliza...na tukakupa maneno kuwa Hiyo yenu ni inflated na fake ...ni patrol "Ship ".

If you talk of manowari ( navy ship ) proper one ....kwa Africa iPo South Africa ...,Nigeria na Eqypt pia zipo ImageUploadedByJamiiForums1414349810.250662.jpg
Jasiri Navy Ship

ImageUploadedByJamiiForums1414349849.775831.jpg

South Africa Warship ..with outriders in Attack formation
ImageUploadedByJamiiForums1414349906.269059.jpg
South Africa War Ship
ImageUploadedByJamiiForums1414349940.998591.jpg
A submarine is important in defending a warship and reconnaissance purpose


So you can see the difference between Navy Ship and War Ship......which have helipad..and war plane carrier. Etc
 
Achana nao hao wasomali waliingia wastegate wakaleta makomandoo walipofika wakaanza kuuliza eti wanasailaha ss hao makomandoo trafick,waliishia kuiba mikufu tu na nepi
 
ImageUploadedByJamiiForums1414351269.541042.jpgImageUploadedByJamiiForums1414351295.517625.jpgImageUploadedByJamiiForums1414351324.265692.jpgImageUploadedByJamiiForums1414351348.834052.jpgImageUploadedByJamiiForums1414351370.151470.jpgImageUploadedByJamiiForums1414351475.546197.jpg

Some of the navy ..activities.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1414351425.787894.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1414351425.787894.jpg
    27.6 KB · Views: 195
Hongera mkuu! Umewakamulia ndimu kwenye kidonda vizuri sana.
Ha ha ha and u still call it.."War" fighting with jihad brothers with no Tanks, no canons, no mortars, lack even proper military uniforms leave out complicated military hardwares and u still call it "A War"... man yo very desperate Just to find smthng for a match... Lets see... we have trained Mozambique guerillas, ANC (South Africa under Mandela), ZANU guerillas (Mugabe) Master Spies like Kagame and Museveni and the recently Congo DRC (Kabila) all of whom they have made it to their states Liberation, we have fought "A FULL SCALE WAR" with Uganda and Win... our Special forces have performed and staged standards with remarkable achievements in Special Operations Missions including Anjuwan Raid, Congo Rebellion Sweep out Mission (M23 and others), our mighty and formidable TPDF have defended territorial sovereignty with undisputed claims over Nyasa lake we don't pay them for nothing... tumepelekwa Darfur miezi 8 tu chokochoko zimeisha, na sasa tunasuluhisha Sudan kusini... Tuliwakuta "mnazozana" (mana sio kupigana) na Al Shabaab several months before sisi tukaianza kazi ya M23 wakiwa na Tanks, canons, mortars, well trained guerillas by Rwandan Special forces, and a huge financial and technical support from Rwandan Military and Intelligence lakin ndani ya wiki 3 tukaimaliza kazi tukawaacha bado manazozana na Al Shabaab wasio hata viatu wanavaa makobazi... On April we un plotted Al Shabaab terror network they were all scanned and confined kimya kimya nothng is know of their where about nchi ina amani ujenzi wa taifa unaendelea hivi ndivyo Intelligence ya maana na akili inavyofanya kazi sio kelele nyngi kwenye vyombo vya habari af watu wanne wanaikalisha nchi nzima for four days... so which means the stats are 1 terrorist per your whole security system
for a day ama...???
Tanzania doesn't live Hollywood life when it comes to security eti uende Firepower au CIA website ukute wana hiki na kile hiyo tumewaachia our amateurish neighbours who lack experience in matters of security and covert (as the history entails). Tanzania is always stealthy and silent only few is known and majority is presumed but our actions speaks louder than words.
 
In kenya we learn from our mistakes, post election violence came as a result of poor leadership based on ethnic backgrounds...yaliyotupata yametufunza na tumepata katiba mpya na institutions zetu zimebadilika, kenya ya sasa si kenya ya zamani tumewatoa mafisadi wote, infrastructure taking shape na tuko na imani na viongozi wetu...kwa mara ya kwanza nimeshangazwa na maendeleo yanayofanyika nchini kenya, miradi inayotekelezwa kila siku ni dhihirisho la haya yote..proud to be Kenyan
 
Hongera mkuu! Umewakamulia ndimu kwenye kidonda vizuri sana.

Jamaa wana ka roho flan ka korosho sana na chuki zisizo na msingi na ndivyo vilivyosababisha wachinjane.. skuiz they av developed they run cross border to hate even non Kikuyu and Luo jamaa sijui wakoje yaan agrhhh... so annoying Mkuu...!!! Ya kwao yanawashinda watayawezaje ya Watanzania...???
 
Tatizo roho zenu nyeusiii na nyinyi wenyewe weusiiii mtafikiri mnavyozaliwa tu uwa mnanyweshwa oil chafu,watu weusiiiii km uvungu wa korodani, mimi nikiwaona uwa nafikiri mobile solar panel kumbe mtu to Nairobi
 
Acha kupotezea. Unaongekea katiba ya Tanzania wewe inakuhusu nini?Umeulizwa Kenya tangia uhuru wake imepigana vita gani na wapi haujibu. Unevaki kutoa mfano wa street fight ya Somalia. Tena nayo mnasaidiwa na Uganda,Burundi,Ethiopia,Amison nk na bado hamshindi tu!
Kaka naomba unapojihusisha na siasa za kimataifa, unatumia muda wako kusoma mambo ya nchi za watu na kufuatilia habari kabla hujaja JF kuzijadili. Ruwaza yetu tumeiweka 2030 kitambo sana. Na tumefaulu pakubwa kutimiza mengi. Halafu kumbuka kukosana kwetu kama nchi, ina maana tumekua watu wa kuhoji, naomba unifahamishe tangu uhuru Tanzania mmefaulu kubadilisha uongozi kwenye vyama vingapi.
Mimi huwa nafuatilia siasa za EAC yote, na kwa sasa Tanzania hata katiba ni taabu, ile yenu aliyowasilisha Warioba ilikua inafanana na yetu ya sasa. Ilikua nzuri, mumeichakachua na kuipitisha, Wapinzani kwenu waoga waliacha bunge na kupigia makelele huko nje.
 
In kenya we learn from our mistakes, post election violence came as a result of poor leadership based on ethnic backgrounds...yaliyotupata yametufunza na tumepata katiba mpya na institutions zetu zimebadilika, kenya ya sasa si kenya ya zamani tumewatoa mafisadi wote, infrastructure taking shape na tuko na imani na viongozi wetu...kwa mara ya kwanza nimeshangazwa na maendeleo yanayofanyika nchini kenya, miradi inayotekelezwa kila siku ni dhihirisho la haya yote..proud to be Kenyan

Vzur sana na sisi kwetu hatukuhitaji kufyekana mapanga kuwa wamoja siku zote ni wamoja na kwetu pia miradi na infastructure development ni nyng na everyday we are being suprised na kasi ya uchumi bas kila mtu afanye yake kwao kila mtu ajali yake kwao kwa amani....
 
Shida ya wakenya wengi(sio wote)ni kujiona wanajua kila kitu na kwamba wao wako juu. Sasa matukio ya westgate na aibu walioipata imeonesha majigambo yao si lolote si chochote. Eti kuwa contain wasomali wanne,limeenda jeshi zima na vifaru,na hata hao nagaidi hawajawapata! Msione aibu,mje kujifunza kwa kaka zenu JWTZ!
 
KDF wazee wa Selfies.. mapichaa tu kwao kazi ni kujiselfie utadhani Military imekua Instagram.... njoo kwnye proven Military history and performance sasa hapo wanasema ni halftime wataendelea wakirudi....
 
Back
Top Bottom