Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,984
- 142,305
China naona kashaishiwa pumzi! Kajitutumua vya kutosha na kafikia kikomo chake.Subili Kobazi waje uone....Hawataki kuona Marekani anashinda Kwa chochote. Wao wanajua Marekani anawaogopa hadi wale wapumbavu wa Houthi.
Waandikie kichina na kwenye vyombo vyao vya habari, unatuandikia sisi so what?Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.
Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini mmeshindwa kula sahani moja na Trump.
145% dhidi ya 84% hakuna kabisa uwiano wala ukaribu wowote ule.
Mnazidi kuthibitisha kuwa ngoma nzito nzito hamziwezi. Mnachoweza ni ujanja ujanja na ulaghai tu.
Hata bidhaa zinazouzwa Temu, kwa mfano, ubora wake ni wa mashaka sana.
Nunua nguo toka Temu halafu ifue uone itavyobadilika 🤣.
Sijui kwa nini tu Wachina wako hivyo.
Ndo maana mimi siwawmini kabisa watu wanavyodai kuwa jeshi la China sasa hivi ndo jeshi la pili kwa ubora duniani.
Ndio kaz mnayoiweza watanzania ushabiki wa kijinga. Nataman mngepata hata muda wa kuja china muda huu kuja kwenye maonyesho ya canton fair kuna kitu mtatoka nacho.Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.
Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini mmeshindwa kula sahani moja na Trump.
145% dhidi ya 84% hakuna kabisa uwiano wala ukaribu wowote ule.
Mnazidi kuthibitisha kuwa ngoma nzito nzito hamziwezi. Mnachoweza ni ujanja ujanja na ulaghai tu.
Hata bidhaa zinazouzwa Temu, kwa mfano, ubora wake ni wa mashaka sana.
Nunua nguo toka Temu halafu ifue uone itavyobadilika 🤣.
Sijui kwa nini tu Wachina wako hivyo.
Ndo maana mimi siwawmini kabisa watu wanavyodai kuwa jeshi la China sasa hivi ndo jeshi la pili kwa ubora duniani.
Sahihi kabsa.China naona kashaishiwa pumzi! Kajitutumua vya kutosha na kafikia kikomo chake.
Xi Jinping njoo huku tafadhari
Huyu jamaa muda wote ni kui promote Marekani. Ni mswahili mwenzetu lakini anajisikia Mmarekani zaidiBro, Easter hiyo, then watoto wanarudi baada ya hapo, tunakaa na Familia then wanarudi shule...
Do you have any business na China/ USA ya kukuingizia Kipato au is just ample time and interests?
These are world giants, they can mind their own business, and we focus on our problems!
No disrespect, but naona tu kama hulali una deal na watu ambao hawana msaada/impact kwetu.
Huyu jamaa muda wote ni kui promote Marekani. Ni mswahili mwenzetu lakini anajisikia Mmarekani zaidi
SI kila mtu abakie na bidhaa zake kwanini wasumbuaneKiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.
Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini mmeshindwa kula sahani moja na Trump.
145% dhidi ya 84% hakuna kabisa uwiano wala ukaribu wowote ule.
Mnazidi kuthibitisha kuwa ngoma nzito nzito hamziwezi. Mnachoweza ni ujanja ujanja na ulaghai tu.
Hata bidhaa zinazouzwa Temu, kwa mfano, ubora wake ni wa mashaka sana.
Nunua nguo toka Temu halafu ifue uone itavyobadilika 🤣.
Sijui kwa nini tu Wachina wako hivyo.
Ndo maana mimi siwawmini kabisa watu wanavyodai kuwa jeshi la China sasa hivi ndo jeshi la pili kwa ubora duniani.
Wewe unapo ipromote China unakuwa ni mswahili wa Hong KongHuyu jamaa muda wote ni kui promote Marekani. Ni mswahili mwenzetu lakini anajisikia Mmarekani zaidi
Ndio hapo sasa. Mbona Xi Jinping mara nyingi tu anaipromote China, ina maana na yeye ni mchina?Wewe unapo ipromote China unakuwa ni mswahili wa Hong Kong
Atakayeathirika hapa ni USA pakubwa, China analo soko la bidhaa zake Afrika na Asia, wakati USA anaarithiri watu wake mwenyewe. Juzi nimesikiliza BBC raia mmoja wa USA fundi magari anasema walikiwa wanategenea spare part from China na sasa havipo japo alisema ana amini vitakuja japo kwa ongezeka la dola 70.