Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Nimeona clip ya Trump ya zamani akilalama kuwa Marekani inagandamiwa kichumi na nchi zinazouza bidhaa mbalimbali nchini Marekani . Mimi kwa upande wangu naona ni wazo zuri sana. Tutunge sheria Nchi yoyote inayouza bidhaa Tanzania itulipe asilimia 25 ya faida wanayoipata kwa kuuza bidhaa Tanzania kwa mwaka. Nahii iwe tofauti kabisa na ushuru na kodi zingine za kawaida zilizopo
.
.