China na Urusi zalaani sera ya Nyuklia ya Marekani

China na Urusi zalaani sera ya Nyuklia ya Marekani

Vikwazo vyenye nguvu ni vikwazo vya uchumi, uchumi wa dunia inamaanisha biashara, katika biashara vitu vikuu viwili ambavyo bidhaa zinazo uzwa na kununuliwa lakin na njia inayo fanikisha mabadilishano hayo (transaction) hapo inaingia fedha. Zaman ilikuwa inatumika Gold maana uweza mpa mtu mashiling yako kwake atayafanyia nin lazima umpe kitu chenye thaman ambapo gold ilikuwa kama means of transition, kutokana na mambo ya uhaba na ubebaji wa Gold ndipo dollar ya us akachukua mbadala wa Gold. Dollar inatumika na kuitajika popote (international currency) na supplier ni US kwakupitia chumbo chake ambacho kakiweka kama chombo cha dunia ( world Bank ). So marekan akitoa kitisho lazima asikilizwe na dunia nzima.
Lakin marekan alipata hiyo nguvu kutokana na uwezo wake wa uchumi kwamba alikuwa ndio world last resort ambapo hali inavyo zidi kwenda yuan pesa ya mchina inaweza ikawa second hata first huko mbele.
Kwa sasa bado US dollar Euro, Great Pounds, na Yen zipo top na kufuatiwa na Yuan ya mchina.
Mkuu sidhani kama Chinese Yen ipo hata kwenye top 5 Kama sio top 10 ya shilingi zenye nguvu duniani.

Yen kuja kuchukua nafasi ya dollar Bado sana,mpaka mwaka jana kwenye biashara za kimataifa pesa ya mchina haijafika hata 2% huku US dollar ikiwa ipo kwenye 60+% ambapo ikiwa ni pesa ambayo inatumika zaidi kwenye biashara za kimataifa kuliko pesa yoyote ile ikifuatiwa na Euro ambayo inachukua kama 20%.

Kingine kitakachofanya Yen kuchelewa kuchukua nafasi ya dollar ni kwamba inadhibitiwa sana na serikali ya China ambapo Mara inapanda thamani Mara inashushwa ukilinganisha na pesa ya Marekani ambapo soko ndo linaamua kwamba ipande au ishuke. Unadhani Kuna mwekezaji au mfanyabiashara anayetaka kupata hasara awekeze kwenye pesa ambapo hajui kesho itakuaje!?
 
Kaamua kujifcha nyuma ya NK, Russia na China, yeye kama anaboresha aboreshe tu aache kelele, na wenzie wakija ku upgrade silaha zao asipige kelele tu.

Yeye anaboresha wakat huo huo anakataza adui zake wasiwe na Nuclear, unafikiri ukimwambia NK asitengenze Nuclear atakuelewa..? hahah

Wala uwezo wake ulikua haujapungua sema alizidiwa akili na Russia tu
Haya leo Kiko wapi,kumbe CIA wanachapa kazi kweli kweli walisema Urusi ina silaha za Siri na hatimae Juzi juzi hapa Putin kazionyesha kweli.

Sijui Urusi ilikua inalialia nini kuona Marekani anataka kutengeneza silaha za kuwalipizia
 
Sio Urusi tu, hawa wawili kuliliana kawaida yao kabisa, inategemeana nani kamuwahi mwenzie. Hawa wako katika vita ya balance of power kwaio watafatiliana tu

Kuna mkutano mmoja Putin alifanya Moscow last year, akasema ninafahamu CIA wana mipango ya kuidhoofisha Urusi, ninafahamu CIA anachokifanya middle east(mfano pia media mbali mbali ziliripoti kua Urusi ndio ilisaidia kuzuia mapinduzi ya Uturuki) vipi Putin kajuaje hizi mambo za CIA..? na mm nikisema kama wewe "kumbe FSB wanachapa kazi kweli kweli" nitakua nimekosea..?

Unafikiri US pia anaweza kua na silaha za siri Russia asijue..?, hakuna silaha ya siri kama tu utaitengeneza halafu uje uifanyie majaribio, kila kitu kinakua wazi tu

kwanza huu uzi nilikua nishasahau wewe ndio umenirudisha uku mkuu
 
The Nuclear Sub Challenging Russia in the Arctic..
Nearly invisible to the enemy as it stalks the oceans depths, the USS Hartford, a Los Angeles-class nuclear-powered submarine, provides the US Navy with a lethal combination of stealth and firepower..

Huu ujuzi tunaoonesha ktk kusema humu na kuonesha tunajua ingekuwa kweli tunao km tunavyojionesha nadhani matatizo ya madawati mashuleni yasingekuwepo,sidhani km tungeendelea kuagiza sindano na mchele wa China na Taiwan
Sijui tumeumbwaje,magwiji wa kujua nani ana nini na kujionesha tunajua lkn wavivu wa kutumia hicho tunachodhani tunajua kutatua matatizo yetu madogo madogo,sijui ndo madhara ya ugali tunaokula sana,
Hii ni ushahidi tosha kuwa elimu tunayoipata nchini inatuandaa kuwa watumwa na kuwa wambea zaidi ya kuwa watatua matatizo
Mkuu inabidi ufikirie mbele zaidi nini kikwazo kwa Africa !!!!!
Mfumo wa viongozi wetu na jamii yetu ni kikwazo tosha kabisa mifumo yetu ndio laana yetu !!!
Hatupo kwajili ya kufanya jambo la manufaa kwa jamii hata kidogo tutafanya kidogo sana ila Tunafikiria zaidi watoto wetu na wajomba na matumbo yetu !!!
siku tukiachana na Ujinga wa kukumbatia undugu na na watoto na makabila tunaweza sogea kidogo !!!
Angalia mfumo kama wa CCM kwenye nafasi ya Rizi one au January Ataka kama ungekuwa na akili kama Stephen Hawking huwezi kuwa kwenye nafsi zao wazazi wao wange kuwa ma Dr nao wangekuwa ma Dr hata kama kichwani ni - !!
Afrika tunajuwa kuwaza kipaumbele kwa familia hatakama ni mjinga atakuwa kiongozi tunajuwa kuwaza Wana wake Na ngono Ndio kikwazo !!!
PAMBANA NA HALI YAKO MKUU HAKUNA NJIA YA KUTIBU HUO UGOJWA KWA SASA!!
 
The Nuclear Sub Challenging Russia in the Arctic..
Nearly invisible to the enemy as it stalks the oceans depths, the USS Hartford, a Los Angeles-class nuclear-powered submarine, provides the US Navy with a lethal combination of stealth and firepower..

Russia wana eneo kubwa sana la barafu lazima watakuwa na submarine kama hizo kama hawana watakuwa wamepitwa maana huo mzigo sio wa kawaida!!
 
Yani Africa bila ya kua na mapinduzi ya kisera kwenye Elimu,Kilimo na Uongozi Bora(Siasa safi,taasisi zenye nguvu ambazo haziingiliwi,Bunge,Mahakama,nk) hatutaendelea kamwe.

Maana huwezi endesha uchumi wa viwanda Kama huna wasomi,utaishia kunyonywa tu.

Na Kama huna taasisi zenye nguvu kama Bunge na mahakaman bhas tarajia Mambo kwenda ndivyo Sivyo. Elimu ndo kila kitu kwa Dunia hii ya leo.
Wewe wumeona iyo ndo shida Africa, wala sio iyo shida je nani anayekupa mkopo na lazima ufuate masharti yake. Bajeti huna unahitaji wakupe msaada, wewe unataka bajeti ya kilimo wao wanakuambia hapana peleka katika barabara utafanyaje kama wewe. Kilichotakiwa ndo hiki cha sasa jeuri jeuri baki na hela zako hata kama hatuna za kulipana mishahara tutasonga mbele ipo siku tutatoka
 
Kwani huko kwenye mikopo huwa tunaitwa,si tunakwenda wenyewe kutokana na shida zetu.

Unasema jeuri jeuri wakati juzi tu hapa waziri wetu wa fedha kaenda kuwapigia magoti WB wampe mkopo ainue Uchumi.

Ukitaka jeuri jeuri waulize Zimbabwe wale ndo wanajua nini maana ya jeuri sio Tanzania ambao mpaka leo tunapokea hadi misaada ya neti na dawa za malaria na ukimwi toka Marekani
 
Russia wana eneo kubwa sana la barafu lazima watakuwa na submarine kama hizo kama hawana watakuwa wamepitwa maana huo mzigo sio wa kawaida!!

Hao tena?, tena basi tayari wanarudisha mapigo halafu makusudi kwenye 'swimming pool' ya NATO. Hawa jamaa kwa kutunishiana misuli sasa..

"Russia has flexed its nuclear muscles once again by sending the world's largest submarine with an arsenal of 200 weapons on board including 20 nuclear missiles to the Baltic Sea.
The massive Typhoon-class sub called Dmitry Donskoy is to leave the White Sea and travel around Norway and Denmark into what Putin's officials are calling NATO's swimming pool.."

Russia to send the world's largest submarine to the Baltic | Daily Mail Online
 
SPACE FORCE
This will be the Second time a US President floats an idea of building a Space Force. At first it Started with Ronald Reagan's Strategic Defence Initiative(SDI) famously nicknamed Star Wars. They Soviets did not like the idea very much especially after knowing that their economy is not going to manufacture weapons of equivalent status.

The Space Force Rhetoric worked very well in the 80's because the Soviet Economy was heavily punctured by unsustainable and corrupt communist system. But will it work today in a multipolar world ??? And worse enough during a period when America is living in a 22 trillion USD debt which is somehow bigger than her GDP ??

I'm eager to see this showdown,
Very eager to see it....
 
By the way kutokea ajali ya silaha za nuclear kulipuka zenyewe ni kitu kigumu sana(nazungumzia silaha za nuclear sio vinu vya nuclear) kwa sababu hizi silaha ua ziko katika deactivated form, ili zifanye kazi ni lazima ziwe activated first(ili kucomplete a circuit) ndio mana huwezi kusikia nchi imejilipua yenyewe kwa Nuclear weapons

Na ambacho kinakua sensed na sensor after a nuclear attack ni radiation, na anae accept to hit back ni computer ambayo iko controlled na person, so ikitokea silaha zikalipuka zenyewe huwez sikia et defense system zimejilipua tena kushambulia its own country, sababu hazijapa permission kuattack japokua zimesense radiation kuonesha tumeshambuliwa mkuu
Mkuu,
Urusi Nuclear Powered Submarine yao iliwahi kulipuka mwaka 2000 wakati wanafanya mazoezi. Mlipuko wake ukitengeneza tetemeko la Maginitude kama 4.2 hivi. Japo hii ilitokana na Urusi kushindwa kufanyia ukarabati silaha za kinyuklia za kipindi cha Umoja wa Kisovieti.

NB: Tafuta the Kursk Incident.
Vladmir Putin alitukanwa sana na familia za wanajeshi wale, kipindi hicho ndiyo anaanza Uraisi. Akenda kumalizia hasira zote Chechnya na Georgia.
 
Nimeeleza ajali ya nyuklia maana najua kutokea ajali ya silaha za nuke ni ngumu maana hata US miaka ya 1950s Kama sikosei B52 ya Marekani ulipata ajali ikiwa imebeba mabomu ya nyuklia lakini hayakulipuka
Zinatokea mara nyingi sema wanaficha,
Urusi hadi kinu kililipuka Chernobyl wakaficha mpaka miaka ya 90 ndiyo dunia ikajua kumbe mji mzima ulilipuka....

Mpaka sasa Urusi imepata matatizo mara tatu. Mara ya mwisho ilibaki kidogo wamshambulie Marekani mwaka 1983. Kuna mwanajeshi alikuwa anaitwa Stanislav Petrov alipata taarifa ya hatari kutoka kwenye Radar kwamba makombora matatu ya kinyuklia ya Minuteman yemeingia na yanaenda kushambulia Urusi: Jamaa ilibaki kidogo afyatue makombora ya Urusi na kutoa taarifa lakini akaacha kumbe Radar ilisoma vibaya mionzi ya jua.

Kama angetoa taarifa Moscow basi Andropov angeshambulia Marekani wakati huo huo maana alikuwa anajiandaa sana na Vita ya nyuklia kuliko raisi yoyote wa Urusi.
 
Mkuu sidhani kama Chinese Yen ipo hata kwenye top 5 Kama sio top 10 ya shilingi zenye nguvu duniani.

Yen kuja kuchukua nafasi ya dollar Bado sana,mpaka mwaka jana kwenye biashara za kimataifa pesa ya mchina haijafika hata 2% huku US dollar ikiwa ipo kwenye 60+% ambapo ikiwa ni pesa ambayo inatumika zaidi kwenye biashara za kimataifa kuliko pesa yoyote ile ikifuatiwa na Euro ambayo inachukua kama 20%.

Kingine kitakachofanya Yen kuchelewa kuchukua nafasi ya dollar ni kwamba inadhibitiwa sana na serikali ya China ambapo Mara inapanda thamani Mara inashushwa ukilinganisha na pesa ya Marekani ambapo soko ndo linaamua kwamba ipande au ishuke. Unadhani Kuna mwekezaji au mfanyabiashara anayetaka kupata hasara awekeze kwenye pesa ambapo hajui kesho itakuaje!?
Mhhh Ze Kokuyo bwana.
The Best way to measure the Countries wealth and strength in Economy is not through currency but Purchasing Power Parity (PPP). The US Dollar is powerful because it is an International Currency often used by states as a foreign reserve currency. But if you measure currency The British Pound and The Deutsch mark were very powerful than the dollar but again The United Kingdom and Western Germany were not Economically Powerful as American Yankee Empire.
 
Mkuu hapo tulikua hatuongelei issue ya uchumi bali jamaa alikua anaongelea issue ya Yuan kwamba inakaribia kuipiku Dola,ndo maana nikamjibu inaweza ikafikia lakini sio Leo
 
Mkuu hapo tulikua hatuongelei issue ya uchumi bali jamaa alikua anaongelea issue ya Yuan kwamba inakaribia kuipiku Dola,ndo maana nikamjibu inaweza ikafikia lakini sio Leo
When you speak of Currency you automatically speak of Economy my friend. Currency strength and prevalence signifies country economic stability and market performance..
 
Back
Top Bottom