China na Urusi zalaani sera ya Nyuklia ya Marekani

China na Urusi zalaani sera ya Nyuklia ya Marekani

Mkuu ze kokuyo hebu soma hapa.
FIRST STRIKE / COUNTERFORCE
is a preemptive surprise attack employing overwhelming force. First strike capability is a country's ability to defeat another nuclear power by destroying its arsenal to the point where the attacking country can survive the
weakened retaliation while the opposing side is left unable to continue war. The preferred methodology is to attack the opponent's strategic nuclear weapon facilities (missile silos, submarine bases, bomber airfields), command and control sites, and storage depots first..
Sasa ili kuzuia hicho ndio ikaja hii
NUCLEAR TRIAD
Refers to the nuclear weapons delivery of a strategic nuclear arsenal which consists of three components: land-based
intercontinental ballistic missiles (ICBMs), strategic bombers , and submarine-launched ballistic missiles (SLBMs).
The purpose of having a three-branched nuclear capability is to significantly reduce the possibility that an enemy could destroy all of a nation's nuclear forces in a first-strike attack; this, in turn, ensures a credible threat of a second strike , and thus increases a nation's nuclear deterrence.
So ukiangalia hapo iwapo ukiwa na data kamili za mtu ambaye unaenda muattack nikimaanisha heavy weapons zake zilipo then uhakika wa First strike ni mkubwa sana kiasi hata hiyo Nuclear Triad anaweza asiifanye effectively.
Kifupi Nuclear Triad ni kuishi kwenye matumaini kwamba First strike haijakugusa sehemu za siri
 
Mkuu ze kokuyo hebu soma hapa.

Sasa ili kuzuia hicho ndio ikaja hii

So ukiangalia hapo iwapo ukiwa na data kamili za mtu ambaye unaenda muattack nikimaanisha heavy weapons zake zilipo then uhakika wa First strike ni mkubwa sana kiasi hata hiyo Nuclear Triad anaweza asiifanye effectively.
Kifupi Nuclear Triad ni kuishi kwenye matumaini kwamba First strike haijakugusa sehemu za siri
Sasa mkuu unataka kunambia US anajua zilipo sub za Russia zote akafanye first strike kwenye ardhi ya Urusi au vice versa!?

Hiyo Sub moja tu ya Ohio inabeba makombora 24 kila moja 8warheads (24×8= 192 warheads).Na kila siku iendayo kwa Mungu lazima sub nne ziwepo nje ya nyumbani kuhakikisha kwamba inaweza jibu mashambulizi ipasavyo iwapo nyumbani kumeshambuliwa.
 
Mkuu ze kokuyo hebu soma hapa.

Sasa ili kuzuia hicho ndio ikaja hii

So ukiangalia hapo iwapo ukiwa na data kamili za mtu ambaye unaenda muattack nikimaanisha heavy weapons zake zilipo then uhakika wa First strike ni mkubwa sana kiasi hata hiyo Nuclear Triad anaweza asiifanye effectively.
Kifupi Nuclear Triad ni kuishi kwenye matumaini kwamba First strike haijakugusa sehemu za siri
Kifupi ni kwamba kwenye First strike huwezi jua sehemu zote ilipo miundombinu ya nyuklia ya unayemshambulia.

Kuna hayo maSilo ya ICBM mengine yamefukiwa ardhini huko,mengine ni mobile (Kama yale ya NK) bado kuna submarines hujui zipo sehemu gani baharini.
Ndo maana conflict Kama hiyo wakaiita MAD
 
Kwa yanayoendelea sasa, hatushindwi aseeh! [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Burundi huko wafanyakazi wanakatwa 10% wachangie Uchaguzi, Uchaguzi wenyewe sio huru na haki wapinzani bado wanatupwa nyuma ya nondo lakini bado mnalazimishwa kuchangia[emoji38] .Hili bara sijui tulimkosea nini Mungu
 
Hyo dead Man hand ya Urusi mbona hata Marekani Wana kitu kama hicho kinaitwa AN/DRC-8 Emergency Rocket Communication(ERCS) System. Inafanya kazi kama huo mfumo wa Urusi.
Hiyo unayoiongelea ni kama beacon kipindi cha vita tuseme marekani kapigwa nuke basi inashuka inadictate kwa command post nyingine nini wafanye.
In the event of a nuclear attack, ERCS would launch the UHF transmitter into low space to transmit an Emergency Action Message ( EAM) to Strategic Air Command units.
lakini iliyo sawa na ya Mrussi ni hii inaitwa SWESS ila utofauti yenyewe inafungwa kwenye ndege ili kipindi wabiria watakapokua wamekufa basi inajilipua pamoja na ndege refers!
Special Weapons Emergency Separation System(SWESS) also known informally as the dead man's switch, was a nuclear bomb release system that the United States Air Force Strategic Air Command built into bombers such as the B-52 Stratofortress. The system's purpose was to ensure that an aircraft's payload of nuclear weapons would detonate in the event of the crew becoming debilitated by enemy defences such as missiles. Once armed, the system would ensure that the onboard nuclear weapons detonated if the aircraft dropped below a predetermined altitude.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Burundi huko wafanyakazi wanakatwa 10% wachangie Uchaguzi, Uchaguzi wenyewe sio huru na haki wapinzani bado wanatupwa nyuma ya nondo lakini bado mnalazimishwa kuchangia[emoji38] .Hili bara sijui tulimkosea nini Mungu

Teh!, teh!, Aiseeh 😀
Na kuna tetesi kuwa Mugabe inaonekana kaboreka kukaa Uraiani na kutaka kurudi Ulingoni kwa chama kipya. Hili bara hili!
 
Huo mpango wa drone ya Russia USA ndo waliubumburua lakini Urusi mpaka leo bado hajakiri hadharani.
Unafahamu maana ya Nuclear Triad!?
Yaani ukiharibu hizo ports bado kuna ICBM,Kuna bombers na bila kusahau Submarines.

Marekani Wana nyambizi 16 za Ohio...Kila nyambizi moja inabeba makombora 24 ambapo kombora moja linabeba vichwa 8-12 vya Nuclear vyenye 475kiloton kila kimoja. Ndo maana wanasema hawawezi tumia silaha kama hizo [emoji115]maana ni maangamizi makubwa.

Na sera yao inasema lazima kuwe na nyambizi nne kila siku (24/7) ambazo zinakua mahali tofauti Duniani ili Kama wakishambuliwa ghafla nyumbani bhas zile nyambizi zinarudisha majibu,hivyo si rahisi kwa wao kushambuliwa bila kushambulia.

Mambo ya leo yanatusaidia kubashiri mambo ya kesho,

Hukuna taifa lenye uwoga kama marekan japo wengi wanaona kama taifa babe sana. Ni kama timu ya mpira inaweza kuwa na wachezaji wakali sana ila wakakosa mipango wasicheze kitumu mwisho wa siku wanafungwa na timu ndogo sana.

US hakuna nchi itakayo pata madhara makubwa ya vita kama US kiuchumi na kisiasa. Atapigwa kombora moja tuu kwake yeye hata akipiga mia bado majito makubwa yatakuwa kwake, ndio maana US amekuwa fundi wa vita ya mezan sio kwenye battle field. Anajua ushawishi wa pesa yake ulivyo ndio silaha yake kubwa sana kwa sasa.

Lakin vita ya sisasa ni ghari sana kutokana na technology yake kuwa ghari hapa ndio US anapo pata shida maana yeye awez kuimport technology ambayo fanisi na chipu kutokana na mambo ya kiusalama anatakiwa kutumia watu wao, kitu kinachopelekea kutumia kwa gharama kubwa sana hata kama kitu sio cha hajabu na wao kuficha hiyo haibu watajigamba kwa kutangaza kwa mbwembwe ufanisi wake ili tuu dunia iogope.

Lakin kuna vitu viwili vinaenda sambamba kama unafikir vema utanielewa.
Vitu hivyo ni nidhamu na ufanisi, hapo ujiulize kat ya china russia na us nan watu wake wana nidhamu kubwa? Kutokana na mfumo wa uwongozi wa china, China ndio Nchi ambayo raia wake wananidhamu kubwa na wanapenda nchi yao kwa mafanikio waliyo yapata na wanayo endelea kuyapata kiuchum na kitechologia zaid.

Technologia China si ghari kama US na capital ya kufinance utafita wa uvumbuzi wa vitu mbalimbali hasa zana za kijeshi China wanatumia pesa nyingi sana, hapo utaona kuwa kila ihitwapo leo China anasongea kwa spead ya ajabu sana. Mim na Wewe tulio pandikizwa utafit wa kutumia google pekee ambayo china imezuiliwa ndio tunaona US ndie pekee ktk hii dunia.

US wamekir kuwa treats mkubwa kwao sasa ni China ( ukiongea China uwez muacha nyuma NK na Russia ambao wanashare boder na mambo mengine. Ni sawa na US hawez kubali Mexico na Canada zivamiwe hata iweje kwake itakuwa hatar mara mbili
 
Sie tunakuja na mawazo ya kununua madiwani
Hayo ndo mawazo ya wasomi wetu wenye PhD za udsm na udom wanadhani madiwani ndiyo maendeleo kwao madiwani wamekua bidhaa adimu yenye dhamani kubwa[emoji55] [emoji55]
 
Kwenye nuclear hakuna mwenye madhara makubwa au madogo. Mkishapigana wote mmeenda na maji hasa kwa nchi zenye silaha Kali za nuke kama Russia au US.

China wapo mbali kiteknolojia lakini sio kwa kumfikia Marekani kwa sasa labda miaka baadae,mpaka Leo karibu 75% ya vifaa vya jeshi vimetengenezwa kutokana na vifaa alivyonunua Urusi.

Wapo mbali kiteknolojia lakini sio kwenye level za Urusi na Marekani.

Juzijuzi hapa China kapeleka nyambizi yake ambayo ni stealth kwenye bahari karibu na mpaka wa Japan kumbe wajapan walikua wanaifatilia siku kumi mfululizo had wakaambiwa sub ije juu ya maji. (Ingia Google tafuta hii Habari)
 
Hiyo unayoiongelea ni kama beacon kipindi cha vita tuseme marekani kapigwa nuke basi inashuka inadictate kwa command post nyingine nini wafanye.

lakini iliyo sawa na ya Mrussi ni hii inaitwa SWESS ila utofauti yenyewe inafungwa kwenye ndege ili kipindi wabiria watakapokua wamekufa basi inajilipua pamoja na ndege refers!
Pia kumbuka hizo system nyingi zilikua enzi za cold war wakati wa wababe wawili USSR na US. Yani makombora yote unakuta yameelekezwa US au ya US yameelekezwa Russia. Leo hii kama ikitokea NK imerusha kombora bahati mbaya likaenda Urusi je hiyo mitambo ikilijilipua itajua ni wapi shambulizi limetoka kwamba ikajibu?!

Halafu watu tunadhani kurusha nuclear ni kama kurusha mpira au pipi,hiyo ni process ndefu hapo unazungumzia maangamizi ndo maana yule kamanda wa Urusi wakati wa Cuban crisis aligoma kukubali kutoa Oda ya kurusha nyuklia kwenye fukwe za US maana alijua nini kingefata.
 
Teh!, teh!, Aiseeh 😀
Na kuna tetesi kuwa Mugabe inaonekana kaboreka kukaa Uraiani na kutaka kurudi Ulingoni kwa chama kipya. Hili bara hili!
[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha Yule mzee yani kama alizaliwa akiwa Rais[emoji2]
 
Halafu watu tunadhani kurusha nuclear ni kama kurusha mpira au pipi,hiyo ni process ndefu hapo unazungumzia maangamizi ndo maana yule kamanda wa Urusi wakati wa Cuban crisis aligoma kukubali kutoa Oda ya kurusha nyuklia kwenye fukwe za US maana alijua nini kingefata.
Hizo system hata sasa zipo mkuu na kitu walicho upgrade ni kwamba bomu linapokuwa linakuwa linakuwa limeshakuwa determined wapi limetoka ndipo inapoelekeza system adui ametokea na ndipo pa kumlenga.
Refer s mwezi uliopita yule mfanyakazi wa Hawaii alipoleta vurugu baada ya kuclick button ya Nuclear Threat.
Halafu hizo automatic sensors ni Mrusi pekee anazo so far maana USA yeye ana hiyo system ya Nuclear Triad kumlinda wakati Muingereza yeye ana The Letter of Last Resort-hii barua kila submarine inayo na inatakiwa iwepo submarine moja nje kwenye open sea ili ikitokea tatizo basi ifanye maamuzi kupitia barua hiyo.
 
Hayo ndo mawazo ya wasomi wetu wenye PhD za udsm na udom wanadhani madiwani ndiyo maendeleo kwao madiwani wamekua bidhaa adimu yenye dhamani kubwa[emoji55] [emoji55]
Yani Africa bila ya kua na mapinduzi ya kisera kwenye Elimu,Kilimo na Uongozi Bora(Siasa safi,taasisi zenye nguvu ambazo haziingiliwi,Bunge,Mahakama,nk) hatutaendelea kamwe.

Maana huwezi endesha uchumi wa viwanda Kama huna wasomi,utaishia kunyonywa tu.

Na Kama huna taasisi zenye nguvu kama Bunge na mahakaman bhas tarajia Mambo kwenda ndivyo Sivyo. Elimu ndo kila kitu kwa Dunia hii ya leo.
 
Back
Top Bottom