Kwenye nuclear hakuna mwenye madhara makubwa au madogo. Mkishapigana wote mmeenda na maji hasa kwa nchi zenye silaha Kali za nuke kama Russia au US.
China wapo mbali kiteknolojia lakini sio kwa kumfikia Marekani kwa sasa labda miaka baadae,mpaka Leo karibu 75% ya vifaa vya jeshi vimetengenezwa kutokana na vifaa alivyonunua Urusi.
Wapo mbali kiteknolojia lakini sio kwenye level za Urusi na Marekani.
Juzijuzi hapa China kapeleka nyambizi yake ambayo ni stealth kwenye bahari karibu na mpaka wa Japan kumbe wajapan walikua wanaifatilia siku kumi mfululizo had wakaambiwa sub ije juu ya maji. (Ingia Google tafuta hii Habari)
Mkuu kweli taarifa za China kuzipata ni kaz sana sana, hawa ni tishio kwa dunia na sio kesho bali leo. Marekan anachanganikiwa na China kutokana na system yake kuwa strong kuliko system yeyote dunian. Maana China wao sio Capitalist ila sio Socialist system yao inaitwa political Capitalist, ikiwa na maana uthaifu wa capitalist wameuacha na wamechukua ubora wake kama competition (ushindan ktk soko) na uziri wa socialist wameuchukua kwa kufanya chama kimojo ndio msimamizi wa mali na serikali.
Hili linawapa shida sana marekan na ni ngum wao kuwafitin kwa kutumia vibaraka wao, na wananchi wa china kwao wanaona poa tuu maana maisha kwao yapo safi na mazur na wanaipenda serikali yao na kuwa watiifu sana.
Marekan wao kwa wao hawaaminian hakuna anae jitoa kwa taifa ila kwa pesa, japo sera zao wanazipamba sana ili dunia isione udhaifu wao.
Technology ya China inakuwa kwa kas ya ajabu sana ila awana mafisa tuu, wanapesa na wanauzalendo wa hali ya juu. Uwezi pata taarifa zao kirahisirahis kama utazipata basi zile za kawaida ila uwez kujua uwezo wao upo vip kwa sasa.
Had sasa nchi za ulaya zimisha achwa mbali na china.
Kama unaweza unganisha siasa democrasia na uchimi na technolojia basi utaweza pata picha halisi ya china wapo wap.
Mipango yao ya taifa haiyumbishwi na siasa za ndan wa nche, lakin Russia US siasa kwao ni mtego mzito sana, wanatumia nguvu nying kubak madarakan au kupata ushawishi wa siasa wakat china anatumia nguvu nying kukuza uchum na technologia yake.
Angalia yanayo andelea US na Russia na waza kesho itakuwaje.
China ni dunia nyingine mkuuu.
Zaman walikuwa wanasifika kwa vitu visivyo na ubora kwakuwa walikuwa hawapa pesa ya kuwa marighafi nzuri na kuboresha technologia yao ila leo kila wanacho tengeneza ni hatar dunia
Naweza kupa mfano midogo na waza kesho itakuwaje
Mfano Renovo, Huawei, Xiaomi nimekupa mifano ya campun hizo kwakuwa tz wengi wanatumia na wanajua ubora wake
Na fatilia ktk soko la dunia zinafanya vip
Sio Tecno zinazo tengenezwa Nigeria kwa wachina wanao jifunza ambazo hata china hazipo