fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
Ila mkuu china huwa hawapendi pesa yao ipandeMkuu hapo tulikua hatuongelei issue ya uchumi bali jamaa alikua anaongelea issue ya Yuan kwamba inakaribia kuipiku Dola,ndo maana nikamjibu inaweza ikafikia lakini sio Leo
ila marekani wanapenda sna yuan ipande
kuna mchezo apo china anaucheza wa akili kubwa sana sana ndio maana huwa hataki pesa yake ipande yuan juzi imepanda kidogo tu wachina wote wana lalamika !!!