China MBBS Scholarship 2016

China MBBS Scholarship 2016

Ina maana hujawahi sikia wanafunzi wa Tanzania wanavyoteseka na kunyanyasika
Huko nje na RAIA wa kawaida jee bunguni hujasikia wanavyoteswa na wazawa ila sijui mnataka prestigious kitaa haya kila
Ina maana hujawahi sikia wanafunzi wa Tanzania wanavyoteseka na kunyanyasika
Huko nje na RAIA wa kawaida jee bunguni hujasikia wanavyoteswa na wazawa ila sijui mnataka prestigious kitaa haya kila LA KHERI kijana
Sio wote wanapitia hizo experiences.
 
nilifanya application online ya English Medium Bachelor of Medicine Bachelor of Surgery,(MBBS) CHINA katika CHANGSHA MEDICAL UNIVERSITY nime pewa taarfa kuwa nimekua approved....

tafadhari naomba kueleweshwa , yeyote mwenye ufahamu na hili swala au kama ni mmoja wapo upo China una soma MBBS ..... tafadhari msaada wakuu,
Mkuu kama unataka scholarship za china nenda ubaloZini zile ndo za kuaminika sabu zinatoka serikalini moja kwa moja.hizi nyingine sio za kuaminika.
 
CUCAS na CICAS..... pekee ndio wanatoa scholarship pekeake....?? naomba kujua pia
CUCAS ma CICAS hawatoi scholarship bali wana deal na admission. Kama ni scholarship zipo zile zinazotolewa kupitia wizara ya elimu ya Tz na zile za CSC.
Jaribu ku google China Scholarship Council
 
changisha! kama wiki mbili zilizopita nikuwa mji wa changsha..kuna watanzania wengi sana wanasoma south central university hapo changsha...kwa msada zaidi kuhusu chuo hicho ngoja niwaulize hawa jamaa.

karibu mkuu china!
 
kabla ya kweda hakikisha ni full scholarship ??? isije ikawa partial mkaanza kusumbua serikali tusaidieni ugenini...
 
changisha! kama wiki mbili zilizopita nikuwa mji wa changsha..kuna watanzania wengi sana wanasoma south central university hapo changsha...kwa msada zaidi kuhusu chuo hicho ngoja niwaulize hawa jamaa.

karibu mkuu china!
asante sana mkuu, naomba , naitaji sana msaada kutoka kwa wausika wenyewe.....
 
hakika ndugu yangu, nitafika ubarozini nakupata tarifa kamili....
CUCAS ma CICAS hawatoi scholarship bali wana deal na admission. Kama ni scholarship zipo zile zinazotolewa kupitia wizara ya elimu ya Tz na zile za CSC.
Jaribu ku google China Scholarship Council

ok, asante mkuu
 
Mkuu kama unataka scholarship za china nenda ubaloZini zile ndo za kuaminika sabu zinatoka serikalini moja kwa moja.hizi nyingine sio za kuaminika.
nitafika ubalozini , kupata information kamili
 
Changsha City ni South China jimbo la Hunan, nyzmbani kwa Mao Zedong(Mao Tsetung)! Ng'ambo ya pili ya mji baada ya kuvuka mto(nadhan Yangtze River) kuna chuo kikuu kimoja sikikumbuki jina kiko poa. Kama ni hicho wanachokisema wadau nadhan hakina shida
 
Vyuo vikuu bora China ni vile ambavyo vimepewa na serikali yao title inayoitwa "national project 211" au "national project 985". Nakushauri uangalie kama hiko chuo kina title hiyo. Wengi hawalijui hili jambo wanapoapply vyuo vya China
 
..........ninaweza kuangalia wapi,...?? nikaona hizo project no..
 
..........ninaweza kuangalia wapi,...?? nikaona hizo project no..
kawaida chuo kinakuwa kimeandika kwenye website yake, yaani kwenye maelezo ya kwenye website ukiona chuo kinasema kiko "under project 211" au kipo "under project 985", ujue hiko chuo ni bora. Kwakukusaidia kuelewa vizuri, fungua website ya SICAS kisha ingia kwenye list ya vyuo vyao, ukifungua kila chuo utaona kuna kitu kinaitwa "university tier" hiyo ndio itakuonyesha hadhi ya chuo fulani.
 
Changsha ni mji mkuu wa jimbo linaloitwa Hunan. Pale kuna vyuo vingi , vikubwa ni Central South University (CSU) na Hunan University. Hv viko recognized na TCU, ila hiko Changsha Medical University nna mashaka km kiko recognized na TCU. Pitia TCU ku confirm. Naweza shauri usiende chuo hiki, utaji frustrate bure mana nilisikia hawana walimu wa kutosha. Au tafuta namba ya mtu anaesoma pale
 
ok......... nimekupata mkuu
 
Mkuu scholarship za kusoma china zipo nyingi sana na bado hujachelewa......nakushauri achana na hicho chuo omba vyuo vingine kupitia csc.

Kama unaweza nitafute nitakusaidia.
 
Jaribu Shenyang universities no English medium na recognized. Nitafute nikupe address za wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma kule. No chuo chini ya serikali ya China. among the best.
 
Back
Top Bottom