China MBBS Scholarship 2016

grysn

JF-Expert Member
May 4, 2015
266
35
nilifanya application online ya English Medium Bachelor of Medicine Bachelor of Surgery,(MBBS) CHINA katika CHANGSHA MEDICAL UNIVERSITY nime pewa taarfa kuwa nimekua approved....

tafadhari naomba kueleweshwa , yeyote mwenye ufahamu na hili swala au kama ni mmoja wapo upo China una soma MBBS ..... tafadhari msaada wakuu,
 
Taarifa kuwa approved umezipata wap?fatilia huko ulkopata taarifa ndo utapata official update
 
Changsha ni chuo ambacho hakijakuwa approved degree yko huenda isitambulke mm nliaply miaka 2 nyuma na nkajiandaa na safari but nikaja kupata hizo habari
 
.... nime rudishiwa taarfa na chuo chenyewe kupitia raisestudies email niliko kuwa nimeomba scholarship
 
Changsha ni chuo ambacho hakijakuwa approved degree yko huenda isitambulke mm nliaply miaka 2 nyuma na nkajiandaa na safari but nikaja kupata hizo habari
.....kwa maelezo ya chuo katka web page yao ... yana sema chuo kina tambulika na WHO l..., inawezekana ikawa sio ..!!?
 
Kila chuo kinavutia upande wake jiulize kwanini hicho chuo hakipo hata kwenye websites za universities agents kma CUCAS AU SICAS pia ni chuo cha wapakistani in china so kuwa makini ndugu
 
nimetaarfiwa kutaguta

Nan wanaofadhili masomo?coz kama ni serikali lazma chuo ktakuwa recognized,ila kama sio,then tafuta details zake kabla hujapukutisha 6 years pale.pia unapata full scholarship?coz kama unasehemu ya kujilipia yawezekana jamaa wanataka kupga hela tu
 
aah.... siwezi kutuma pessa ata kidgo.... scholar agence anaitwa raisestudies baada ya kua approved admission later nimeambiwa niende embassy kwaajiri ua taratbu zinazo fuataaa
 
Kusoma nje ya nchi lazma ujaribu kutafuta vyuo ambavyo kuna watu washasoma na wamekuwa recognized na degree walotoka nayo huko.nimeona hii kitu pia ,mtu akikutajia chuo alchopo unajiulza alikipataje coz huwez kukuta details za chuo sehemu yoyote.
BTW ,ukifanikiwa kuja karbu sana china,utatukuta
 
aah.... siwezi kutuma pessa ata kidgo.... scholar agence anaitwa raisestudies baada ya kua approved admission later nimeambiwa niende embassy kwaajiri ua taratbu zinazo fuataaa

Nilimaanisha unaweza ukaambiwa chuo knatambulika coz wao wanataka u enroll tu.then unapata 100% scholarship?kuwa makin sana na agences ,mnaweza kushikana uchawi nchi za watu
 
ni kweli ndugu yangu, nikifika embassy au wizara ya elimu wanaweza kunisaidia pia , nikapata maelekezo ya msingi kuhusu hichi chuo... !? au wanaweza nificha nifaham kama kuna lolote tofauti..!?
 
Ina maana hujawahi sikia wanafunzi wa Tanzania wanavyoteseka na kunyanyasika
Huko nje na RAIA wa kawaida jee bunguni hujasikia wanavyoteswa na wazawa ila sijui mnataka prestigious kitaa haya kila LA KHERI kijana
 
Tafadhali kuwa makini sana na hivi vyuo na hususani agents.
Kuna Agents ambao ni wazuri na wanatambulika kama CUCAS . Jaribu kutembelea website yao.
Pia unaweza uka google kupata orodha ya vyuo vyenye sifa ya kupokea international students kwa China
Kama ni scholarship za China unaweza ukafanya application kupitia CHINA SCHOLARSHIP COUNCIL
 
asante sana mkuu...... nita fika embassy nipate kuwasikia naowanacho niambia juu ya hili suala
 
Tafadhali kuwa makini sana na hivi vyuo na hususani agents.
Kuna Agents ambao ni wazuri na wanatambulika kama CUCAS . Jaribu kutembelea website yao.
Pia unaweza uka google kupata orodha ya vyuo vyenye sifa ya kupokea international students kwa China
Kama ni scholarship za China unaweza ukafanya application kupitia CHINA SCHOLARSHIP COUNCIL

CUCAS na CICAS..... pekee ndio wanatoa scholarship pekeake....?? naomba kujua pia
 
Back
Top Bottom