Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,048
- 676
Mkuu nisaidie namimi. Nahitaji scholarship ila sijui naanzia wapi. Nina bachelorMkuu scholarship za kusoma china zipo nyingi sana na bado hujachelewa......nakushauri achana na hicho chuo omba vyuo vingine kupitia csc.
Kama unaweza nitafute nitakusaidia.