Mamayoyo12
Senior Member
- May 30, 2018
- 182
- 41
Yes
uko sahihiTazara siyo Standard gauge. Ina upana wa 1.067mm.
Standard gauge ina upana wa 1.435mm.
Kitu ambacho hakieleweki hapa ni kama watajenga reli mpya au wataongeza upana wa hii ya sasa.
voye viwili, umeme. na kuipanua zaidiReli ya Tazara ilijengwa kwa kipimo cha standard gauge,au wanataka watuwekee umeme ili kuiboresha?
Acha husda, China ndo kila kitu.Siukubali mpango huo wa China... No way no way .!!