Sijui kwa nini lakini sina imani na wachina. Wako kwa ajili ya kuharibu na kututawala. Naumia sana tunakoelekea wachina watawatawala watoto na wajukuu zetu. Kwanza wana roho mbayaaaa ni wa binafsi na makatili sana. Watawafanya watoto wetu kitoweo... kweli watawala nyama.
Sitegemei jipya lolote kutoka kwa watu wa china, india and the like. Wabahili, wabaguzi wezi kuliko maelezo engineer wanataka wakulipe laki tano! She,,, z type!
Wamemwibia nani? Wewe unajua India na China hivi sasa zipo umbali gani kimaendeleo - tangu lini Wazungu wakaendeleza Africa? kama ni suala la mishahara wewe unajua Injinia wa kichina analipwa mshahara wa kiwango gani huko kwao - Ma Engineer wa Tanzania wengi wao ni wa kinadhalia tu hawana uwezo wa kufanya kazi bila ya kusimamiwa au kuelekezwa nimewaona wengi tu uwezi kuamini mapungufu yao, they still have a long way to go!! Wala tusishangae wawekezaji wanapo kuja na mainjinia/technicians wao - sisi ni wazembe sana na hatutaki kujifunza au kukubali mapungufu yetu akili zetu zote zipo kulipwa mishahara minono without delivering anything to talk about - ulalamishi tu kila sehemu, badirikeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.