Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,285
- 61,260
Safi sana, hiyo nyengine sidhani kama inatumika
Sijaelewa wanamaanisha nini hapo hao wachina?
Kama unatembea na huku unatumia simu kama ku-chat, pita upande huu (kushoto) kama unatemebea hutumii simu pita kulia....
Dah nashukuru mkuu maana nilitoka kapa kabisa!