Chimbuko la matatizo yote haya ni Freeman Mbowe

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!

Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
  • Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
  • Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
  • mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
  • Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
  • laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
  • Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
  • Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
  • Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
  • Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
  • Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
  • Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI

Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
 
Aiseee Umeandika Kwa hisia kali teh teh teh Mie nimeishia kucheka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unamlaumu Mbowe wkt Lowassa aliletwa Chadema na Slaa akishirikiana na Gwajima,na Gwajima mwenyewe alikiri hilo na kusema Mbowe wala hakua ana mpango na Lowassa.

Slaa hakutegemea kama Lowassa angempindua kugombea urais alitegemea jamaa ataingia Chadema na kum-support Slaa kugombea urais.

Hasira za Slaa kuachana na Chadema sio sababu ni mzalendo sana wala nini bali ni sababu alikosa nafasi ya kugombea urais kupitia CDM.

ndiyo maana nikasema Chanzo cha matatizo yote ni Mbowe
 
Kumbe akili huna, sasa clip ya akina Stive Nyerere inasaidia nini? Tatizo lako hujui ukweli unakulupuka tu.
Kesho tukisema tuwe front line kupambana na ccm mnakimbia, unakuja huku jf kulalama kama mtoto wa kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumvunjia heshma Freeman Aikael Mbowe
Kabla ya kumlaumu Mbowe Jiulize aliposhika Madaraka ya Uenyekiti Chadema ilikuaje?

Mie huwa Kama simkubali Mtu haimaanishi sikubali mazuri yake

Freeman Mbowe Ni Moja ya Wanasiasa wa Upinzani wenye mikakati Sana Tena Sana Tatizo Ni Moja tu 'kazungukwa Na Akina Yericko'

Alimkaribisha Lowassa Kwa Kuwa aliamini Lowassa anaweza akapasua CCM Na wengi wa Nje ya CCM waliamini hivyo

Ntakupa mfano mmoja?

Unajua Kwanini Dr Slaa alichelewa kujitokeza hadharan kupinga ujio wa Lowassa?

Aliskilizia kwanza Kama Kweli CCM ingepasuka Na Wabunge 50 Na Wenyeviti wa Mikoa 30 wangehamia Chadema Na Kama ingetokea hivyo asingepinga ujio wa Lowassa huko, ila alipoona Hakuna Mafuriko ndio akajitokeza kupinga wakati huo tayari Hata dirisha la Tume kuchukua form lilishafungwa

Freeman Ni political strategists japo anakosa kitu kimoja tu 'Wanachama watiifu ' Na laiti angekuwa Na Wanachama watiifu wa Muda wote Kama Seif Sharif Hamad Basi mambo yangekuwa tofauti Sana
Imagine unakaa vikao vizito vya Siri Na wenzio kupanga Mikakati ya Kisiasa Halafu kesho unawaona wako upande wa pili Hii inakutia wasiwasi wa kuwaamini Hata uliobaki nao kwa Kuwa hujui yupi Nyoka yupi sio Matokeo yake unapunguza kasi
 
Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!

Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
  • Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
  • Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
  • mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
  • Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
  • laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
  • Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
  • Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
  • Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
  • Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
  • Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
  • Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI

Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
Mbowe ndio chanzo cha mimi kuikimbia Chadema na kuachana na makamanda.
 
Haya, sawa !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unamlaumu Mbowe wkt Lowassa aliletwa Chadema na Slaa akishirikiana na Gwajima,na Gwajima mwenyewe alikiri hilo na kusema Mbowe wala hakua ana mpango na Lowassa.

Slaa hakutegemea kama Lowassa angempindua kugombea urais alitegemea jamaa ataingia Chadema na kum-support Slaa kugombea urais.

Hasira za Slaa kuachana na Chadema sio sababu ni mzalendo sana wala nini bali ni sababu alikosa nafasi ya kugombea urais kupitia CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona ni akili timamu kumchukua Lowasa na kumfanya awe mgombea urais ?
 
Mimi ninachojua na nina uhakika nacho tu ni kwamba Chama cha Mapinduzi ' Kilibarikiwa ' tokea Mbinguni na Mwenyezi Mungu kushika Hatamu nchini Tanzania mpaka pale Mwenyezi Mungu atakapopindua tena hii dunia. Usipokuwa katika Chama ' kilichobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu cha CCM utakuwa hivyo vyama vya hovyo hovyo ambavyo hata Maulana / Mola havijui sana sana labda vinajulikana tu na Mashetani? CCM itaitawala Tanzania miaka 10000 ijayo kuanzia huu wa 2019.
 
Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!

Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
  • Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
  • Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
  • mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
  • Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
  • laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
  • Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
  • Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
  • Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
  • Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
  • Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
  • Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI

Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
Wewe ni msema kweli,hakika wewe ni mpenzi wa mungu

Kweli kabisa, Mbowe ndio alisababisha hata Daudi AlberBashire (mungu wa DSM) akapata masomo yote saba F na kutumia cheti cha mtu mwingine.

Mbowe mbaya sana kwa kweli, amemsababishia hata mtakatifu Yohane kuwaita wahudumu wa ndege "air hostage" badala ya "air hostess"
 
Back
Top Bottom