Vupu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,769
- 1,252
Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!
Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI
- Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
- Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
- mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
- Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
- laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
- Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
- Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
- Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
- Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
- Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
- Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
mbowe asingemkaribisha lowasa kugombea, Dr. angetosha kupambana na Magu, ukawa wasingesambaratika wangeunganisha nguvu, huenda wangeshinda urais, hata wangeshindwa basi idadi ya wabunge Wa upinzani ingekuwa kubwa, hakuna mswada Wa hovyo ungepita, shida zote hizi zisingekuwepo! upinzan ungekuwa imaraMbowe kafanya makosa na kubwa kuliko yote ni kumkaribisha yule fisadi Lowassa, lakini kudai yeye ndiye chanzo cha wahuni na wauaji kuendelea kuwa madarakani ni DHANA POTOFU ambayo mwenye akili timamu na mfuatiliaji wa karibu wa uhuni na udhalimu unaofanywa dhidi ya viongozi wa upinzani na wanachama wao hawezi KUHITIMISHA hivyo.
Una miaka mingapiNiseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!
Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI
- Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
- Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
- mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
- Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
- laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
- Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
- Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
- Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
- Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
- Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
- Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
Nimeshindwa soma mpaka mwisho nika conclude kuwa wewe ni mnufaika wa ubaya na ukatili wa CCM. Ni mfuasi wa Ibilisi in short.Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!
Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI
- Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
- Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
- mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
- Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
- laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
- Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
- Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
- Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
- Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
- Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
- Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
Mbowe hatoki hata mkifanya nimi. Wote mnajua akitoka tu Mbowe wanabaki vijana ambao watayumbishwa left and right!
Ukweli mchungu Mbowe ndiye kirusi cha upinzani
Kuliko Mbowe na Chama chake waingie madarakani ni bora tuongozwe na JPM hata miaka 20.Naona hamjabakisha hata moja la kumlaumu na kumshutumu mhe Freeman Mbowe.
Waelewa wa mambo wameelewa na kusifia juhudi zenu kubwa mnazofanya kutumikia waliowatuma kugilibu na kuwapotosha wapenda demokorasia kwa kumchafua Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Alikaeli Mbowe, mkijua kuwa ndiye kisiki na nguzo ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Inahihitaji akili ya kawaida sana kujua ni kwanini Lipumba anabebwa kwa hali na mali na vyombo vya serikali ya CCM ilihali Mbowe anaswekwa korokoroni na bado yeye na wabunge wenzake wana kesi ya uchochezi mahakamani!
Naona ni vema mkarejerea kauli ya mhe aliposema " . . .watanzania siyo wajinga . . ." alipogusia sakata la kutekwa na kurejeshwa kwa Mo katika moja ya hotuba zake ni kejeli (satire).
Mleta mada anazuga kuwa:
1. Hajui kuwa siasa za Bongo si za ushindani,
2. Hana habari na athari ya sheria ya vyama vya siasa iliyosainiwa na mhe rais wa JMT na amiri jeshi mkuu,
3. Mchakato wa "Katiba Pendekezwa" ya Tume ya Waryoba iliyozikwa, na
4. Kukosekana kwa utashi wa kweli wa uwepo wa siasa za vyama vingi ingawa viko kikatiba.
Nawashauri mnaopiga vita upinzani kupitia Mbowe mje kivingine. Mimi ni mtanzania ninayeitakia nchi yetu mema. Ni mtu mjinga tu anayefikiria kutawala nchi milele. Ni suala tu la muda. Mzalendo wa kweli ni yule anayetamani kuona mageuzi ya amani yatokee. Nothing is static. Kuna maendeleo ya kasi kubwa sana ya sayansi na teknolojia duniani kote. Tukikubali kupitwa parefu sana na mageuzi, nchi ijiandae kushuhudia mabadiliko ya kishindo na yasiyoratibiwa baadaye yakitokea. Vyama tawala vina fursa na jukumu la kuratibu na kusimamia mageuzi yakiwemo ya kisiasa.
Dah. .Mbowe hatoki hata mkifanya nimi. Wote mnajua akitoka tu Mbowe wanabaki vijana ambao watayumbishwa left and right!
umenenaKuliko Mbowe na Chama chake waingie madarakani ni bora tuongozwe na JPM hata miaka 20.
Mbowe ni Dikteta mbaya kuliko Hitler.
Mbowe hajawahi kukubali kukosolewa au hata tu mtu kuzungumzia Uenyekiti wake.
CCM ni chma cha kijamaa.
Chama cha Kilibearali kispokua na Demokrasia kama ilivyo Chadema ni hatari kuliko Genge la majambazi wale waliokua wanateka mabasi Biharamulo Kule Kagera.
Mbowe siwezi kumlinganisha na thamani ya Nchi hii na thamani ya ulimwengu wa Demokrasia.
Siku mtakapojua Demokrasia inajengwa kwa gharama kubwa ya kuweka mbali umaarufu,ubinafsi na kupoteza kwa ajili ya Taifa ndio siku mtakapojua kuwa Demokrasia ni kubwa kuliko Mbowe na Chadema.
Nchi za Afrika nyingi kwa kuendekeza watu zimejukuta zinaingiza vyama na watu wa hovyo madarakani kwa kisingizio cha kupigania Demokrasia ya kupata Urais ili waibie nchi.
Mwizi na dikteta kama Mbowe hawezi kamwe kuongoza mageuzi na harakati za kidemokrasia Tanzania.
Mtu yeyote atakayekuja na Hoja za kuipamba Chadema bila kueleza matatizo ya ndani ya Chadema ni lazima nitampinga na kuishambulia hiyo mana na Mbowe mana ndiye Dikteta aliyebaki kuhujumu Demokrasia akishirikiana na kundi Kubwa la Mafisadi ndani ya CCM. Kundi la wafanyabiashara wezi na wauza Unga.
Mbowe nyie mmemjua juzi.
Mimi Mbowe namjua mpaka Kijijini kwake Tangu 1994 . Ni kati ya Watu wasio na huruma na mtu yeyote linapokuja suala la Pesa na Umaarufu na Uhuni wa kila aina. Alipewa chama kwa wema akisogeze na kukabidhi wengine lakini alipogundua Fursa ya kufanya biashara za kuchapisha matisherti ,Kununua vifaa vya Chama kwa Tenda zake,kukikopesha chama na kujilipa mamilioni ya Ruzuku kama madeni hataki tena kuachia chama mpaka Kifie mikononi Mwaka na wajinga wachache wanaendelea kumuunga mkono kwa ubinafsi wao.
Taasisi yoyote isipokua na mabadiliko ya kiuongozi inageuka kuwa na matatizo ya Ukabila au udini!!
Mkumbatieni Mbowe tu mtabaki naye peke yake na Hakuna mtu atakayekubali kutumikishwa na Ziro mwingine. Bora yule ziro wa Kule kwenye mkoa mkubwa mana ameteuliwa tu. Lakini anayoyawaza na kuyafanya hana tofauti na Mbowe.
Mbowe kila siku ni mikakati na mipango na matamko yasiyotekelezeka kama Ziro mwenzake.
CCM chini ya Bashiru na JPM ni bora sana ukilinganisha na Chadema ya Mbowe isiyo na Itikadi zaidi ya kurukaruka na matukio.
Akili za vurugu na ubishi ubishi tu ndizo anazoziendekeza na kuziongoza ndani ya Chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..umemaliza mkuu, Kama Kuna watu wanaopigania madaraka ili wapate fursa ya kupiga..basi Mbowe ni mmojawapo...Ni demokrasia ipi ambayo CDM wanaipigania? Mbona ndani ya CDM haipo?.....huwa nashangaa sana [emoji41]Kuliko Mbowe na Chama chake waingie madarakani ni bora tuongozwe na JPM hata miaka 20.
Mbowe ni Dikteta mbaya kuliko Hitler.
Mbowe hajawahi kukubali kukosolewa au hata tu mtu kuzungumzia Uenyekiti wake.
CCM ni chma cha kijamaa.
Chama cha Kilibearali kispokua na Demokrasia kama ilivyo Chadema ni hatari kuliko Genge la majambazi wale waliokua wanateka mabasi Biharamulo Kule Kagera.
Mbowe siwezi kumlinganisha na thamani ya Nchi hii na thamani ya ulimwengu wa Demokrasia.
Siku mtakapojua Demokrasia inajengwa kwa gharama kubwa ya kuweka mbali umaarufu,ubinafsi na kupoteza kwa ajili ya Taifa ndio siku mtakapojua kuwa Demokrasia ni kubwa kuliko Mbowe na Chadema.
Nchi za Afrika nyingi kwa kuendekeza watu zimejukuta zinaingiza vyama na watu wa hovyo madarakani kwa kisingizio cha kupigania Demokrasia ya kupata Urais ili waibie nchi.
Mwizi na dikteta kama Mbowe hawezi kamwe kuongoza mageuzi na harakati za kidemokrasia Tanzania.
Mtu yeyote atakayekuja na Hoja za kuipamba Chadema bila kueleza matatizo ya ndani ya Chadema ni lazima nitampinga na kuishambulia hiyo mana na Mbowe mana ndiye Dikteta aliyebaki kuhujumu Demokrasia akishirikiana na kundi Kubwa la Mafisadi ndani ya CCM. Kundi la wafanyabiashara wezi na wauza Unga.
Mbowe nyie mmemjua juzi.
Mimi Mbowe namjua mpaka Kijijini kwake Tangu 1994 . Ni kati ya Watu wasio na huruma na mtu yeyote linapokuja suala la Pesa na Umaarufu na Uhuni wa kila aina. Alipewa chama kwa wema akisogeze na kukabidhi wengine lakini alipogundua Fursa ya kufanya biashara za kuchapisha matisherti ,Kununua vifaa vya Chama kwa Tenda zake,kukikopesha chama na kujilipa mamilioni ya Ruzuku kama madeni hataki tena kuachia chama mpaka Kifie mikononi Mwaka na wajinga wachache wanaendelea kumuunga mkono kwa ubinafsi wao.
Taasisi yoyote isipokua na mabadiliko ya kiuongozi inageuka kuwa na matatizo ya Ukabila au udini!!
Mkumbatieni Mbowe tu mtabaki naye peke yake na Hakuna mtu atakayekubali kutumikishwa na Ziro mwingine. Bora yule ziro wa Kule kwenye mkoa mkubwa mana ameteuliwa tu. Lakini anayoyawaza na kuyafanya hana tofauti na Mbowe.
Mbowe kila siku ni mikakati na mipango na matamko yasiyotekelezeka kama Ziro mwenzake.
CCM chini ya Bashiru na JPM ni bora sana ukilinganisha na Chadema ya Mbowe isiyo na Itikadi zaidi ya kurukaruka na matukio.
Akili za vurugu na ubishi ubishi tu ndizo anazoziendekeza na kuziongoza ndani ya Chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umeongea kitu cha maana saaana hasa hiyo sentensi yaako ya tatu kutoka mwanzo.Acha kumvunjia heshma Freeman Aikael Mbowe
Kabla ya kumlaumu Mbowe Jiulize aliposhika Madaraka ya Uenyekiti Chadema ilikuaje?
Mie huwa Kama simkubali Mtu haimaanishi sikubali mazuri yake
Freeman Mbowe Ni Moja ya Wanasiasa wa Upinzani wenye mikakati Sana Tena Sana Tatizo Ni Moja tu 'kazungukwa Na Akina Yericko'
Alimkaribisha Lowassa Kwa Kuwa aliamini Lowassa anaweza akapasua CCM Na wengi wa Nje ya CCM waliamini hivyo
Ntakupa mfano mmoja?
Unajua Kwanini Dr Slaa alichelewa kujitokeza hadharan kupinga ujio wa Lowassa?
Aliskilizia kwanza Kama Kweli CCM ingepasuka Na Wabunge 50 Na Wenyeviti wa Mikoa 30 wangehamia Chadema Na Kama ingetokea hivyo asingepinga ujio wa Lowassa huko, ila alipoona Hakuna Mafuriko ndio akajitokeza kupinga wakati huo tayari Hata dirisha la Tume kuchukua form lilishafungwa
Freeman Ni political strategists japo anakosa kitu kimoja tu 'Wanachama watiifu ' Na laiti angekuwa Na Wanachama watiifu wa Muda wote Kama Seif Sharif Hamad Basi mambo yangekuwa tofauti Sana
Imagine unakaa vikao vizito vya Siri Na wenzio kupanga Mikakati ya Kisiasa Halafu kesho unawaona wako upande wa pili Hii inakutia wasiwasi wa kuwaamini Hata uliobaki nao kwa Kuwa hujui yupi Nyoka yupi sio Matokeo yake unapunguza kasi
Mhmhm...!Mimi ninachojua na nina uhakika nacho tu ni kwamba Chama cha Mapinduzi ' Kilibarikiwa ' tokea Mbinguni na Mwenyezi Mungu kushika Hatamu nchini Tanzania mpaka pale Mwenyezi Mungu atakapopindua tena hii dunia. Usipokuwa katika Chama ' kilichobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu cha CCM utakuwa hivyo vyama vya hovyo hovyo ambavyo hata Maulana / Mola havijui sana sana labda vinajulikana tu na Mashetani? CCM itaitawala Tanzania miaka 10000 ijayo kuanzia huu wa 2019.
Kwa akili kama hizi, ccm itatawala muda sanaChanzo cha matatizo ni Slaa kumleta Lowassa CDM akitegemea Lowassa amsupport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumechoka na haya manung'uniko dhidi ya Mbowe. Hamna hoja nyingine ya kuleta humu? Watu wangapi wameandika kuhusu Mbowe? Sasa leteni mada zingine. Kama huna kaa kimya waache Chadema na chama chao.Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!