Chimbuko la matatizo yote haya ni Freeman Mbowe

Sasa unamlaumu Mbowe wkt Lowassa aliletwa Chadema na Slaa akishirikiana na Gwajima,na Gwajima mwenyewe alikiri hilo na kusema Mbowe wala hakua ana mpango na Lowassa.

Slaa hakutegemea kama Lowassa angempindua kugombea urais alitegemea jamaa ataingia Chadema na kum-support Slaa kugombea urais.

Hasira za Slaa kuachana na Chadema sio sababu ni mzalendo sana wala nini bali ni sababu alikosa nafasi ya kugombea urais kupitia CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi lini mtajitambua na kukubali ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo mutaharibu, asipokuwa Mkiti, wengi wataikimbia CDM. Wakuchukua nafasi yake bado hayupo
 
Huu mtazamo hata ccm wanautumia. Kwamba hakuna chama kingine kinachoweza kuongoza nchi zaidi ya CCM.

Ila kiuhalisia kwa mambo yalivyo upinzani hawako tayari kuongoza dola kwa miaka ya karibuni. Kwanza wana utoto mwingi, ujanja ujanja na uongo ndani yake.
 
  • Thanks
Reactions: ibb
Akitoka anaingia Lissu kua Chairman au hata Lema itapendeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. Jitu gani wewe huwezi kusoma hata mazingira ya kisiasa yalivyo? Unadhani huyo Slaa unayemwabudu yeye angefanya nini? Angekuwa na msimamo angekimbia chama? Ndio njia ya kutatua matatizo ilivyo? Inamaana Slaa yeye hakutokea CCM kama Lowasa? Hujui kuwa Slaa naye alikuja upinzani baada ya kukatwa ubunge huko CCM? Halafu kwa nini hutaki kujua kuwa siasa ni mchezo dynamic muda wote? Acha kumlaumu Mbowe aliyejitolea kwa hali na mali kiasi hicho. Wewe mbulula tu mmoja unakuja na vihoja vyepesi eti asinge! asinge! asinge! Wewe ni mpiga ramuli?
 
Kwakweli mbowe uondoke au ubaki mwanachama wa wakawaida vinginevyo utatoka hapo kama idd amin Dada
 
Niseme tu ukweli na kwa dhati kabisa kuwa!!
Chimbuko la CCM kuendelea kubaki madarakani,Ugumu Wa maisha pamoja na wakati huu mgumu Tunaopitia kutafta suruhisho la kisiasa pamoja na hamahama inayoendelea!

Chanzo ni mwenyekiti Wa chadema Freeman mbowe; Kosa la mbowe kubwa ni kumpa nafasi lowassa agombee Urais: hapo ndipo alitibua kila kitu, Lowassa ambaye alikuwa na maneno matatu tu unampaje nafas ya kugombea? ( asalam aleikum, tumsifu yesu kristo, naombeni kura), Hakika mbowe hata nikilala njaa sitaacha kukulaumu!
  • Wakati tukitafta manukato na pafyumu nzuri kubadili hali ya hewa ndani ya chadema tutambue huyu mbowe ndiye aliyeruhusu harufu mbaya iingie kwenye chumba cha chadema!
  • Mbowe ndiye aliyepakua kinyesi kutoka nje na kukiingiza ndani,
  • mbowe ndiye aliyeingiza kirusi kwenye ulimwengu Wa siasa ya hamahama,
  • Laiti kama Dr.slaa angeachwa agombee nguvu na imani ya chadema ingedumu.
  • laiti kama Dr. slaa angeachwa agombee Libumba asingejiweka mbembeni na UKAWA
  • Laiti kama Dr. slaa angegombea imani na mshikamano ndani ya ukawa ungedumu
  • Mbowe ndiye aliyesababisha hata CUF kusambaratika.
  • Mbowe ndiye aliyesababisha LIPUMBA awe mamluki hadi kupelekea Maalim sefu kuhamia ACT
  • Mbowe ndiye aliyesababisha CCM ikashinda kwa kishindo
  • Mbowe ndiye aliyesababisha wabunge wengi Wa chadema kusaliti chama.
  • Mbowe ndiye chanzo Machungu na maumivu ndani ya mioyo ya watu wengi!
KUSEMA UKWELI SIKU HIZI NAMCHUKIA SANA MBOWE HAFAI

Sina shaka hata ile audio crip iliyosambaa kipindi kile "Baby can u fly to AR" ilikuwa yake! NAMCHUKIA sana mbowe! KIUFUPI nabaki chadema Kwa heshima ya TUNDU LISSU TU SAHIVI lakini vinginevyo nisingebaki!
Wew bwege kaa na slaa wako pamoja na fisadi lowassa.
 
Hebu tuanzie pale alichukua uenyekiti CHADEMA ilikuwa level gani na tulinganishe na sasa kipo level gani. Kosa kubwa la Mbowe ni CCM kushindwa kumyumbisha.
Si support vyama vya upinzani vinavyoendesha siada zao lakini ukweli ni kwamba Mbowe ni moja ya sababu kubwa kwanini CHADEMA hakijapotea kwenye ramani.
Dr Slaa alidhihirisha udhaifu mkubwa na kama angelikuwa ni mpinzani wa ukweli asingekuwa pale alipo(ambassadorial post), angekataa uteuzi wa kumpa mkulu political milage.
Kuna wanasiasa waongeaji sana na wana mashabiki wengi lakini linapokuja suala la misimamo, it's a totally different thing.
CCM fun boys ndiyo hutumia nguvu nyingi kusema Mbowe hafai/Mbowe atoke, all in all upinzani bado una safari ndefu hasa za kimbinu(ki'Mafia) kuweza kukabiliana na CCM.
 
Who are you by the way ?

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Kiongoz Usipotoshe hakuna Safar ndefu kwa upinzani kuitoa ccm kwa sasa ccm iko hoi kuliko hata mgonjwa wa icu kama huamini tume ifanye kazi kwa mujibu wa sheria na polisi wasiingilie siasa uone kama huyo magufuli na ccm yake kama hawajaenda lubambangwe kulima mahindi.
 
Back
Top Bottom