Chimbo la Sinza.

Chimbo la Sinza.

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,901
Reaction score
4,126
Wazee wa kazi kuna chimbo la madini adimu lipo hapa sinza opposite na Mlimani City, jirani na Survey discipensary. Ni sehemu hizi nyumba zipo kama makazi ya watu tu.
Mwenye details zozote kuhusu hili chimbo alete tuone kama kunachimbika au vp.
 
Back
Top Bottom