Chimbo la Safety gears kwa bei nafuu Kariakoo

Ijagara

Member
Dec 15, 2021
29
61
Habari za muda huu, msaada kwa anayefahamu chimbo la vifaa vya usalama vya ujenzi kama gumboots, reflectors, gloves ngumu za ujenzi, helmet za ujenzi, nk Kariakoo au dar au popote pale vinapopatikana kwa bei rahisi ya jumla naomba kuelekezwa.

Naweka na picha.

Screenshot_20221222-091346.jpg
 
Habari za muda huu, msaada kwa anayefahamu chimbo la vifaa vya usalama vya ujenzi kama gumboots, reflectors, gloves ngumu za ujenzi, helmet za ujenzi, nk Kariakoo au dar au popote pale vinapopatikana kwa bei rahisi ya jumla naomba kuelekezwa.

Naweka na picha.
View attachment 2454205
Mi namjua supplier..huyu mnaagiza kabisa mzigo anakuletea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom