Mo Dewji amualika Rais wa FIFA kwenye mechi ya Simba SC na Al Ahly

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,795
15,773
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani FIFA ndie mgeni rasmi katika mechi itakayo chezwa tarehe 20 Jumamosi kati ya Simba na Al Ahly super league.

SIMBA NGUVU MOJA

IMG_1514.jpg
 
View attachment 2782913
Natamani angelimualika pia kwenye ligi ya NBC agundue jinsi waamuzi walivyo weledi lakini chaajabu hawapangwi kuchezesha ligi ya mabingwa Africa, CAF
 
Back
Top Bottom