Childishness and Predictability in Korean Series

wana nyimbo nzuri sana, binafsi nilipenda sana ule wa kny Athena
 
Nyingi zimekaaa kidemu demu, na unaeza kuta series nzima ina watu 7 tu
 
Uwiiiiiii!Jamani wana nyimbo nzuri sijapata kuona,sijawahi kuona sound track mbaya kwenye movie zao hata moja!
Mie mwenzio hua nazitafuta nadawnload nakua nazo kabisa.

Kuna video moja vimechukuliwa vipande vya kwenye movie ya Heirs halafu imewekwa na nyimbo,ile video nzuri maana yale maneno ya nyimbo na ile video vinaendana.
 
Kuna video moja vimechukuliwa vipande vya kwenye movie ya Heirs halafu imewekwa na nyimbo,ile video nzuri maana yale maneno ya nyimbo na ile video vinaendana.

Dah!Tokea siku ya kwanza nilitaka nikuambie napenda sana nyimbo za kwenye the heirs!
Nzuri sana,pia napenda ile sound track ya the Slave Hunters.
 
Umeshaambiwa A man called God
Ndomana akawa akamatiki ana uwezo wa kufanya chchte kile kwasabbu n God
Ielewe title hyo
 
Umeshaambiwa A man called God
Ndomana akawa akamatiki ana uwezo wa kufanya chchte kile kwasabbu n God
Ielewe title hyo

Hahahaaaa bora umemuelewesha maana kuna watu hua hawaangalii title wanaangalia movie tu.
Binafsi hadi niangalie na kusoma maudhui ya movie ni nini kwanza.
 
Hahahaaaa bora umemuelewesha maana kuna watu hua hawaangalii title wanaangalia movie tu.
Binafsi hadi niangalie na kusoma maudhui ya movie ni nini kwanza.

Watu wanakurupuka 🐸ukiondoa majungu yao Korea wapo vizuri Sana
Giant ,lobbyist ,Gu family book ,Crime squad ,East f headen n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…