Hizo mi nliacha kuangalia maana huwa naona ni series za wasaidizi wa kazi mimi huwa siwezi kuziangalia ni za kitoto sana na ni kweli unaweza kujua itaishaje na hata kufanana ..nlijaribu kuangalia mbili hivi sikumaliza hata episodes tatu...maana zina bore sana na naona kama wao wananifikiria mimi ni mtoto sana.wakati najielewa. sipend watu watengeneze series kwa kuwadharu watizamaji kana kwamba watizamaji wote ni darasa la saba au wana upeo mdogo wa kufikiri.
Mi binafsi naona movie za kizungu nyingi zinafanana hadi nimechoka,series za kikorea wana ideas tofauti ndiyo kilichonivutia.Nakumbuka hata mie mara ya kwanza rafiki yangu alinipa ile city hunter ya kikorea na kuisifia sana ila mie niliichukuwa tu ila sikuwa na nia ya kuangalia,ila kuna siku niponipo tu home halafu sina hata movie ndiyo nikaona hebu nijaribu kuiangalia ila ilinivutia ndiyo ikawa series ya kwanza ya kikorea kuangalia.
Jaribu kuiangalia Athena.
Kumbe hukuanza na "inspirational Jumong"? Hio ndio ilifungua njia yakheee
Yani mie sijui kwanini..yani Jumong siwezagi kuangalia movie zake wala aina za movie zile za mapanga sio mpenzi,mie nilianga tu ile The Man called god
Daah.. Basi ule uhondo wa Jumong uliukosa.. Trust me, hizo historical drama ndo zina rock zaidi.. Hakuna utoto mule..
Kumbe hukuanza na "inspirational Jumong"? Hio ndio ilifungua njia yakheee
Ujue mwanzoni zilikuwa movie za mapanga mapanga tu basi ndiyo nilikuwa hata sitaki kuzisikia,
Yani mie sijui kwanini..yani Jumong siwezagi kuangalia movie zake wala aina za movie zile za mapanga sio mpenzi,mie nilianga tu ile The Man called god
Hata mimi nimeshangaa!!Jumong ndio ilitufumbua macho wengi sana.
Hii movie ndio the best Korean movie of all time to me!
Baada ya hiyo uliangalia the land of wind muendelezo wake.Yani mie siangalii series zaidi ya series za kikorea
Unashindwa kuangalia kwasababu wewe muoga. Lile panga unaona kama unakatwa wewe vile
Hahahaaa wewe tunafanana,kumbe ndio maana nakupenda eeh?
Unashindwa kuangalia kwasababu wewe muoga. Lile panga unaona kama unakatwa wewe vile
Baada ya hiyo uliangalia the land of wind muendelezo wake.Yani mie siangalii series zaidi ya series za kikorea
Yani mie nipo radhi kukesha kisa korean series na nimeishaangalia nyingi hadi kuna time wakiongea najua wamemaanisha nini
Jamani!Ungekua jirani yangu ningefurahije?
Mimi najua kabisaa hicho kikorea,na hapa tu naangalia series nyingine sasa hivi.