Childishness and Predictability in Korean Series


Hahaaa.. Chuno nayo am done with it.. Just naboreka na mpvie ambayo star anakufa at the end.. There is no happy ending in korean series
 
Uzi woote umebadilika pamoja na wewe kusema ni childish unazolame kwao lakini soko lao lipo juu kwa sasa, Mie binafsi kila mwezi naangalia series moja ya Kikorea na nikimaliza nagawa na ninayemoa hanirudushii,tafuta road no 1 kama unapenda vita na uone uchungu wa vita au city hunter na uone vijana wanavyoweza kuwaumbua wapinga Ufisadi mapapa wanavyoaibika.
 
Hahaaa.. Chuno nayo am done with it.. Just naboreka na mpvie ambayo star anakufa at the end.. There is no happy ending in korean series

Hawa jamaa labda culture yao ni emotional sana ndio maana wanapenda watu wasikitike ila wanavyofanya kwenye ending hakuna justification its just lame.., watu wana-invest muda wao waone plot vipi ilifanikiwa na mlengwa vipi alishindwa sio kufika mwisho na mtu kufa wala bila sababu ya maana refer Bad Guy, Iris etc, au mwisho hata yule Bad Guy huoni ni vipi amekuwa punished. Kwahio naona wanataka ku-capilize kwenye emotional side ya watazamani ila nadhani hapa wana-fail series bado inaweza ikasikitisha ila ikawa na justification
 

Kuwa na soko juu haimaanishi hakuna vitu ambavyo ni kero.., mfano kwenye movies za kihindi kuna watu huwa wanakuwa turned off sababu ya kupenda kulia lia au kuimba imba.., Sasa ukiangalia hizi Korean movies kuna persistent ya mapenzi ya kitoto toto, predictability yaani unajua kabisa nini kitatokea (nyingi hazina ile WOW Factor mtu unashangaa kwamba hukutegemea kitu fulani kitatokea.., Mfano ingawa sio Series angalia Shawshank Redemption) Alafu nyingi kutaka kwao kusikitisha watu mwisho wake huwa either star anakufa au anakosana na mtu anayempenda..

Kwahio kuna vitu ambavyo ni distinctive kama martial arts skills n.k. zina-work in their favor lakini plots zao overall na justification ya mtu kufanya kitu fulani sio watertight. Na huenda ndio maana nyingi ukimaliza kuziona unazigawa sababu sidhani kama utapenda uje uziangalie tena (ukizingatia hakuna dialogue za nguvu useme utajikumbushia)
 
Hahaaa.. Chuno nayo am done with it.. Just naboreka na mpvie ambayo star anakufa at the end.. There is no happy ending in korean series

duh nimeshaangalia episode moja tu kwahio unanishauri nisi-invest 45min x 24 episodes = 1080minutes = masaa 18 ?
 
duh nimeshaangalia episode moja tu kwahio unanishauri nisi-invest 45min x 24 episodes = 1080minutes = masaa 18 ?

Hahahaaa.. Go ahead. There is some good swordmanship and you will enjoy it. But the end aint good maaaaaan...
 

Hawa jamaa bana wako vizuri sana kwenye quality, story, hata acting yao ipo vizuri
Tatizo lao wapo predictable ukomedi mwingi hata usipotakiwa na mapenzi flani hivi yakitoto toto na wakati mwingine uhalisia unakosekana
Na kama umeangalia sana tamthilia za ki Hollywood ndio kabisa hizi zitakupa shida

Kwa mfano City Hunter ni bonge la idea kwa maana ya stori nzima ukija kwenye uhalisia ni tatizo
hata hivyo ni tamthilia nzuri sana kupotezea muda kama utakuwa haujali sana
 
ijapokuwa mimi sio mpenzi wa haya mambo, ni kweli kabisa wakuu kwamba nyingi ya tamthlia zao ni za kufikirika na ziko too exaggarative (hazina uhalisia wa hali halsi), jambo ambalo linazifanya zionekane za KITOTO. halafu zimejaa kupiganapigana kwiiiingi---utoto!
 
Nimemaliza kuangalia na hii Warrior Baek Dong Soo..., ni nzuri ila kuna ile sense ya DeJa Vu.., yaani ukiangalia sana hizi ni kama zinafanana vile..., alafu ending yao mara nyingi haikidhi haja, na mara nyingi unakuta mmoja wa wahusika (Bad Guys) hapati adhabu yake kamili..., mfano kwenye hii Baek kwanini yule Queen na yeye hakushikwa na kupewa haki yake ?, Je aliishia wapi ?
 
Tafuteni THE HEIRS hamtajuta kabisa, mpaka sasa nimeangalia series 30 in total za kikorea! The heirs is the best of the best trust me
 
Tafuteni THE HEIRS hamtajuta kabisa, mpaka sasa nimeangalia series 30 in total za kikorea! The heirs is the best of the best trust me

Mimi nililia sana nakuambia,nakubaliana na wewe kua ni the best,watu wameni inspire humu nazidi kuzipenda...mimi nikipata series mpya ratiba ya shughuli zangu lazima ivurugike
 
Tafuta setup zake uinstall kwenye PC yako,me nliidownload tu,hata ukiisearch google utaipata mkuu komeka

Ni downloader nzuri sana,kokote kwenye video inakupa option ya kuidownload

Kwenye simu inawezekana mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Movies / Series cheki kwenye hio link unastream na ukiwa na Internet download manager unaidownload

All Korean dramas and movies list, with subbed

Lakini wewe haya mapenzi ya akina ahjussi, unni, oppa na noona kweli sometimes hayakuchoshi

Uwiiiiii,nayapenda mimi sijui nisemeje...omma,kumnjini (princess) n.k
Ni bora nisile kuliko nikose movie za kikorea,am crazy in love with Koreans
 

mkuu nitapata wapi painter of the wind series nzima?
 
Uwiiiiii,nayapenda mimi sijui nisemeje...omma,kumnjini (princess) n.k
Ni bora nisile kuliko nikose movie za kikorea,am crazy in love with Koreans

Empress Ki... Ndo nimeimaliza hiyo.. Iko hot hot.. Try it.
 
Empress Ki... Ndo nimeimaliza hiyo.. Iko hot hot.. Try it.

Hizi series ni kama asali ni nzuri in small dozes ukiangalia kidogo kidogo ni poa ila ukiangalia nyingi zinakinaisha sana...

Ila baada ya kurudi Hollywood kwa miezi michache sasa nimerudi kuangalia Watch Empire of Gold Korean Drama Episodes with subs or downloads

looks promising na mpaka sasa nipo episode ya nane kati ya 24 hakuna utoto wa mapenzi na kuna real power struggle na plot ni nzuri labda huko mbele waharibu kama kawaida yao
 

Hahahaaa... Asante kwa kunipa hii ... Am going for it..
Mi sichokagi haya makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…