ahahaaa hii nchi ina vijiji vya ajabu ila watu wanaishi kuna siku nilienda handeni vijijini ndani hukooo yaani nilikoma nilillala tu kwenye gari na boss maana kulikuwa hakuna jinsi yaaani nyumba za udongo kijiji kizima halafu vumbiii kukiwa na safari za huko nauchuna kama sio mimi yaani