Chief Mkwawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chief Mkwawa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by UncleUber, Jun 21, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ivi kuna chie mkwawa wawili wawili au ni huyu huyu mmoja? kama wapo wawili yupi ndo gwiji letu la hii section maana nilitaka kumpm nikagundua wapo wawili.

  msaada tafadhari
   
 2. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Mimi nimem pm patupu sijapata majibu mpaka sasa so sielewi maji yamezidi unga au?
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,775
  Likes Received: 7,092
  Trophy Points: 280
  pm kupitia hapa mimi avatar yangu ni picha ya mtu mkwawa mwengine avatar yake ni fuvu ambaye yeye haji humu.
   
 4. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  nikitaka pm unatokea kule kule kwa fuvu kama vp wewe utani pm.

  Kaka ninatumia yale matundu tatizo nashindwa kulogin yahoo na kufungua baadhi ya site kama kama dailymotion,michuzi etc pia nakwama kabisa torrent downlod so naomba msaada wako mkuu maana wewe upo juu ktk mambo yetu haya
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  yeah kila nikitaka ku pm anatokea mwenye fuvu. Pia nilikuwa kwny thread ya huku, nikaona tuko wawili mimi na chief.mkwawa nikataka kumpm akatokea wa fuvu ndo maana nikaandika hapa
   
Loading...