Cosovochina
Member
- Dec 11, 2018
- 8
- 7
Watu wengi wanajua chief mkwawa alijinyonga lkn hapana alijipiga risasi!huu ni uchunguz uliofanywa na chuo kikuu cha Dar es salaam!
Kuna siku utajua vizuri kuanzisha mada ,maana naona bado mgeni umeingia jumanne 8:23Pm ila Leo umechemkaWatu wengi wanajua chief mkwawa alijinyonga lkn hapana alijipiga risasi!huu ni uchunguz uliofanywa na chuo kikuu cha Dar es salaam!
Watu wengi wanajua chief mkwawa alijinyonga lkn hapana alijipiga risasi!huu ni uchunguz uliofanywa na chuo kikuu cha Dar es salaam!
Hakuna hata sababu ya uchunguzi. Fuvu lake pale Kalenga lina tundu la risasiWatu wengi wanajua chief mkwawa alijinyonga lkn hapana alijipiga risasi!huu ni uchunguz uliofanywa na chuo kikuu cha Dar es salaam!
Hakuna kipimo cha kisayansi kilichowahi kuthibitisha lile ni fuvu la Mkwawa. Eneo ambalo linaaminika alijipiga risasi kulikuwa na watu watatu, yeye Mkwawa na walinzi wake wawili.Ni kweli alijipiga risasi nilibahatika kuona fuvu lake pale kalenga kwenye makumbusho, lile fuvu lina tundu katikati ambapo risasi ilitokea.
Watu wengi wanajua chief mkwawa alijinyonga lkn hapana alijipiga risasi!huu ni uchunguz uliofanywa na chuo kikuu cha Dar es salaam!
Ganda ra risasi harikuweza kupatikana kwa karibu karne nzima rakini ndani ya miaka mitatu ya utawara wangu, ganda hiro rimepatikana.....Huo uchunguzi umesifu awamu ya tano? Kama sio,ni batili,watanzania waupuuze
Hakuna kipimo cha kisayansi kilichowahi kuthibitisha lile ni fuvu la Mkwawa. Eneo ambalo linaaminika alijipiga risasi kulikuwa na watu watatu, yeye Mkwawa na walinzi wake wawili.
Kabla ya kutokea tukio hilo uliwashwa moto, ndipo zikasikika risasi mbili, ila wajerumani walipofika walikuta miili miwili. Mmoja ulitambulika wa mlinzi na mwingine haukujulikana kwakuwa ulianguka kwenye moto ukiwa na tundu la risasi. Wa tatu hajulikani alienda wapi, wala hakuna kipimo kilichothibitisha kweli lile ni fuvu la Mkwawa.
Hata baadhi ya watafiti waliwahi kutilia shaka
Watoe video tuone. Kifo chochote cha kujiua ni uwoga na sio ushujaa. Mkwawa sio shujaa wa taifa atafutiwe jina lingine tu ili heshima yake isitirikeWatu wengi wanajua chief mkwawa alijinyonga lkn hapana alijipiga risasi!huu ni uchunguz uliofanywa na chuo kikuu cha Dar es salaam!
Upo uwezekano huo na inaaminika waarabu ambao walikuwa watu wake wa karibu walimtorosha. Wajerumani wenyewe suala la uhakika hilo ni fuvu la Mkwawa wanaingiwa na kigugumiziKwahiyo inawezekana alikimbia???