Kama anatoa, kwanini nisimuabudu?Ila usianze kumuabudu shetani😅
Ukiona mtu analala au kujimwagia pesa hyo hamnazoKipindi cha mwendazake watu walikuwa wanaficha sana cash kwa kuogopa kuhojiwa source of funds, na ilikuwa ngumu kuona mtu akionyesha cash nyingi mitandaoni. Sasa hivi naona imekuwa kawaida, watu kupiga picha mihela mingi na kupost, je mamlaka siku hizi hazihoji tena chanzo cha mapato?
Yani huyu dogo mshamba kapitiliza .. Used old model lisilozidi USD 30 ndio anuzia sura?🤣