Chidi Benz Ft Raymond - Chuma Official Audio - YouTube

Chidi Benz Ft Raymond - Chuma Official Audio - YouTube

Sauti nilioizoea kumsikia akiimba sio hiyo ya sasa bado bado aijawa vizuri ila kajitahidi kwa hali aliokuwa nayo na kuimba hivyo safi.
 
Acheni mambo yenu kila kitu mnaponda tu...wimbo uko poa sana...Bg up chidi...usiwasikilize hao wanao kunanga kwani nisawa na wapinga maendeleo.
 
Huyu hana chake tena kwenye muziki, aombe mtaji kwa Domo aanze biashara yoyote aweze kujikimu. Kwenye muziki atapoteza muda wake bure, mwishowe apate stress arudie mapoda..
 
Mwana chid uko vyema.....hicho chuma acheni majungu watu hukosea na kujirekebisha....King konggggg
 
Ipo poa atarudi penye kiwango chake coz ni kama baiskeli kama unajua unajua tu hata ukiwa na miaka 100 unaendesha.
 
Beat haijampendeza Chid, Babu tale na Fella likija swala la Hip Hop wawashirikishe producers wengine, sababu Shirko na Laizer hawawezi hii midundo, chek hii ngoma na ile ya Getu tararira, mbaya sababu ya beats
 
Huyu hana chake tena kwenye muziki, aombe mtaji kwa Domo aanze biashara yoyote aweze kujikimu. Kwenye muziki atapoteza muda wake bure, mwishowe apate stress arudie mapoda..
Chid hawezi kuludi kwenye game akashika tena sahivi tunae ney wa mitego
 
Back
Top Bottom