Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Zile zile za Maslow?Zile hierarchy of needs....wasanii hawapitii zote....wanaruka baadhi ambazo ni muhimu. Sasa wakianza kuteremka kupitia zile walizopaswa kupitia ndio tabu inaanza
Njoo nikutulizeNdio maana yule Rais wa Phillipines anaua yeyote anaye jihusisha na ngada, kule wenzetu sober house ni mochwari, madawa ya kulevya yana maliza sana vijana kwa kweli nina hasira sana hapa nilipo