Huyo lord iyz ndio nani?? Kama unamaanisha Lord Eyes huyo kisha potea kwa madawa kitambo sana... Amekuwa anapata nafuu ila hajawahi kurecover 100% ... Cocaine isikie mkuu isikie tu mkuu
Climate nayo Ina nafasi yake labda, ndo mana hata wenzetu huko tunakoiga hawaharibikiwi kiasi hiki! Hata wanaokunywa gongo sehemu za joto hali huwa mbaya sana tofauti na wale wanaotumia na wanaishi mazingira ya baridi!