Chid?

Daaah inauma sana jamaa kajitengeneza kwa mda mrefu bt kaja kupotea kwa dk tu
 
Dudu baya aka mambaa, alishasema watu wamuache chidbeenz, Sikumuelewa kabisa dudu baya ila sahivi napata picha kamili
Huyo dudubaya mwenyewe viroba vinammaliza kila siku masai club na boda boda yake mfukoni kajaza viroba yupo nyaka nyaka
 
Ekelamu ya se kumisa nde mokonzi Yezu kristu Yahwe yokela ngai mawa ozali na concurrent te yo moko nde mosantu masumu ma ngai maleki
 
Babu Tale si alijitolea kumsaidia imekuwaje tena
 

Si vyema kujua kabila lake,lakini mambo ya kiswahili/shirki kama yahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…