Chid benz x Nikki mbishi x Songa

Wazee wa hiphop ,jana nimeskiliza ngoma mpya ya hao jamaa hapo juu,ngoma inaitwa chelea pina

Hakika Chidi benz kakimbiza sana humo ndani..

Ngoma ni hii hapa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Songa on the way
PicsArt_03-05-01.47.48.jpg
 
Wazee wa hiphop ,jana nimeskiliza ngoma mpya ya hao jamaa hapo juu,ngoma inaitwa chelea pina

Hakika Chidi benz kakimbiza sana humo ndani..

Ngoma ni hii hapa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
in the history of hip hop in Tz, Kuna watu wawili tu waliokimbiza, Chid Benz no1, Joh Makini no2, wengine walifanya vizuri kadri ya uwezo wao, Kuna wengine walibebwa, Kuna wengine biashara ya muziki iliwabeba, wengine respect ya kukaa kwenye game muda mrefu, ila Hadi leo, sijui kesho, Chid Benz alikuwa rapa Bora na mzuri Sana, Ni vile tu hakuwa na circle Kama aliyo nayo diamond, angekuwa anarap na kina game, TI, Minaj, Jay z nk.
Simpambi ila jamaa Ni fire by nature,
Natural geneous talent
Kama unabisha fikiria DARESALAM STAND UP Kama Ni dar tu ndio iilisimama?!the whole country stood up
 
Unga ulimyumbisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom