H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,394 Oct 2, 2025 #1 Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,344 Reaction score 37,788 Oct 5, 2025 #2 Yuko sahihi!
Choosen85 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,312 Reaction score 5,619 Oct 5, 2025 #3 Wengne cm ndo inamfanya apate dili sa akiwa hana cm sa dili atapata wp si ndo atakufa na shda