mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 87,096
- 120,456
Tangu ije haIjawahi kutumika ni mpya
Unaweza ku grill kuku 50.
Bei yake ni milion tatu na laki tano (3,500,000) kwa anaywifahamu mashine hii na anaona itamfaa tuwasiliane kupitia 0715591141 nkupe maelekezo uende ukaione dukani magomeni mapipa
View attachment 316572 View attachment 316573 View attachment 316572 View attachment 316573
Soma vizuri alichouliza jamaa!Hii mashine nlinunuaga Dubai $ 1400
Yaani mpk kufika hapa nlitumia ilikaribia 4mln
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nilishangaa lkn nikajua vyuma vimekaza nikakusamehe.
Mi mwenyewe nilishangaa lkn nikajua vyuma vimekaza nikakusamehe.
Nashukuru sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia vifaa mbali mbali vya jikoni kwa ajili ya Mgahawa
Jiko kubwa la GasPia vifaa mbali mbali vya jikoni kwa ajili ya Mgahawa
Vinapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlishaiuzaga muda tuniletee chalinze, msimu huu kware wengi sana.