Don Alaba
Senior Member
- Nov 3, 2010
- 167
- 18
Ukiona hivyo watu wanaishi kwa maslahi tu, unapotaka kuleta utaratibu mpya inakuwa shida kidogo, tanzania imekuwa kama mbio za kijiti watu wanapeana tu, na imefanywa kama keki ya birthday inaliwa na waalikwa wachache.
CHI CHI M OGOPENI WATAKA MABADILIKO. :disapointed:
CHI CHI M OGOPENI WATAKA MABADILIKO. :disapointed: