Chi chi m wanaogopa kubadilika kwa katiba

Don Alaba

Senior Member
Nov 3, 2010
167
18
Ukiona hivyo watu wanaishi kwa maslahi tu, unapotaka kuleta utaratibu mpya inakuwa shida kidogo, tanzania imekuwa kama mbio za kijiti watu wanapeana tu, na imefanywa kama keki ya birthday inaliwa na waalikwa wachache.
CHI CHI M OGOPENI WATAKA MABADILIKO. :disapointed:
 
Back
Top Bottom