chezeya nyoka wewe!!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
1.jpg

MShiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, Babylove Kalala, akijarimu kumng'ata nyoka wakati mrembo huyo pamoja na wenzake wanaowania taji hilo walipotembelea eneo la Snake Pak mjini Arusha.mia
 
Tombolis mbololis is the most dangerous snake in the world, its color varies from pink to black, its size ranges btn 3inches to 10inchs. It usually attack women in bedrooms at the lower abdominal area and causes infammation which lasts for 9months. Some mutants attack from behind, they do so even to men. Boflooooooooooooooooooooo!
 
Mkuu huyu nyoka si ndio yule anayevunja ndoa za watu??
 
Hako kanyoka hakana sumu, mie nilipiga picha na mama'ke!
 
Akimaliza kumng'ata Nyoka
Na yeye ajiandae kung'atwa na majaji na mapedeshee
 
Nyoka ni mmoja wapo wa miungu tunayoiabudu sisi wapagani.Kama ulikua hujui sasa nakufahamisha kua umemng`ata mungu wangu.Naomba heshima ichukue mkondo wake dada.
 
snake park is a good place to visit!

It is a very good and interesting!you can see variaties and diffent types of snake with different size together with other related reptiles!I had a visit there many times.
 
Nasty.....kama kaweza kuweka nyoka mdomoni basi kila kitu anakula au analamba....ikiwemo icecream za azam nk.... Hupati kura yangu ng'o.
 
Hapo anavuta hisia ya kitu kingine kabisa.
We huonagi wanaponyonyaga pipi ya kijiti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom