Huyu ZUMA anatisha aiseee! daaah, eti sorry, huyu naskia aliishia Form 4 yao, na kule uwani naambiwa m.kiti wao aliishia Form 4, na pia ni Dj, wajuzi hebu mnisaidie kudukua, hakuna mahali hawa watu wawili walikuwa pa1? Kwa Zuma, Mjomba atasubiri sana!