Hicho kitu kingeweza kutokea kwa Madiba mwenyewe au Nyerere?. Ukijidharau utadharauliwa, ukijiheshim utaheshimiwa.
sio kila jambo lililofanywa na Mandela au Nyerere lilikuwa zuri mkuu
Hicho kitu kingeweza kutokea kwa Madiba mwenyewe au Nyerere?. Ukijidharau utadharauliwa, ukijiheshim utaheshimiwa.
Hizo sababu nilizotoa hazijustfy kudharauliwa?
wamekutana sasa.....