Chezea wanawake weye eeeh!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Mke wa mtu alikutwa akisoma ujumbe wa simu aliotumiwa na mpenzi wake wa nje.

Ghafla mwanamke huyo akajikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake wa nje kumwambia kuwa mapenzi yao yamefika kikomo.
Baada ya kumuona mkewe analia,mume alishituka kidogo na kutaka kujua kulikoni?
Mumewe akamuuliza nani kakutumia meseji?

MKE:dada.
MUME:inasemaje?
MKE:Ananielekeza jinsi ya kupika pilau.
MUME:sasa mbona unalia?
MKE:si nimefika sehemu ya kukata vitunguu!!

Teh teh teh teh teh!!
 

jamani!hlo nalo ni tatizo.uaminfu zero.
 
Hiyo kutoka bukoba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo mwanamke primary school na mume chekechea
 
Afu bado jamaa atamnyamazisha
 
jamaa angemwambia amsaidie kukata ivo vitunguu sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…