Chezea wanawake wa mjini wewe!!!

Majanga!! :bange:
CC mwaJ hebu njoo uchukue takataka yako huku, inanichefua tu hapa
 
Last edited by a moderator:
...kwahiyo na nyie wanaume mnaamini kuwa hiyo inatoka moyoni? mh!ukiona hivyo mwanaume wa kweli unatakiwa umwambie SEMA SHIDA ZAKO...uone mtiririko wa listi hapo...chezea!!
 
Reactions: awp
watu8
Re: Chezea wanawake wa mjini wewe!!!
Ha ha ha!!!

Halafu atataka kuangalia eneo la tukio kama hakuna mchubuko


kama kutakuwa na mchubuko, fedha ya kukodi boda boda uwahishwe hosipatilini utaoa wewe
 
hahhahaha, unajambaje mbele ya mpenzi wako bana! lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…